shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
kwanza nasikia hawa walioko huku uko kwao ndo masikini wakutupa hawaruhusiwi kufanya biashara yeyote kubwa kuingia kwenye siasa wala kujichanganya na jamii yeyote ambayo ni wealthy wanaoana wenyewe
so wakiwa huku kwetu wanaona kama wako dunia nyingine kila kitu ruksa chezea tz weye
so wakiwa huku kwetu wanaona kama wako dunia nyingine kila kitu ruksa chezea tz weye