Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,356
Waiting.....
Asante kwa kusubiria. .. naamini upo bado. ..
Waiting.....
Asante kwa kusubiria. .. naamini upo bado. ..
Voko tena mkuu... mi namsubiria tu akiniambia amerudi namueleza pasu pasu kinaelewe... kinaeleweka.
Wallah umenikumbusha mbali sana
Voko tena mkuu... mi namsubiria tu akiniambia amerudi namueleza pasu pasu kinaelewe... kinaeleweka.
Ehee... karibu sana. Nimekukumbusha wapi kwanza...
Nmerudi vipi ni ile ishu ya hg ???
hivi kwani wanaanzaga hivi?
ushameza zege kamanda?
Punguza presha kamanda. .. mi nishapresent mada... inamsubir mhusika mkuu aisemee, kisha iwekwe mezani kwa mjadala
Work online and earn up to $1100 guaranteed per week through telexfree.
Be free to call and ask how it operates!
0714443969
yah! big up sana nimeona.
uko vizuri!!
hapo lazma alegee
Si unajua mkuu sisi na umri huu hatuna tena yale ya vijana... ooh nitakununulia sketi...
ha ha ha ha! ngoja mrembo aje..atamke majawabu.