Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,069
Nyalotsi unajua hata kwenye list haukuwepo... labda usubir second selection
Nyie si mlikuwa mnamuuzia chai!? Mi naondoka na mzigo kabisaaa! Hakuna muda wa stori, hapa ni kazi tu!
Nyalotsi unajua hata kwenye list haukuwepo... labda usubir second selection
M CM tafadhali mkuu...Tembosa ile hadithi ya kusisimua yule mke mtu aliyetaka kuzaa na wewe itaendelea lini?
karibu tujuze yaliyojiri
Ha,ha,ha. Jf raha sana. Mkuu sema nikusaidie kushambulia ili usikose na huyu!
bora umwambie... kazi tuliyoifanya ya kumbadilisha huyu mtu ni kubwa sanaM CM tafadhali mkuu...
tunasherehekea humu.. Tembosa amesahau machungu yote kwa sababu ya mtoto wa kichagga miss chagga....hebu tuwaache kidogo wafaidi hanimuni yao!
--------------------------------------------
si unajua.....lkn si unajua...si hapa tu mimi nashangaa hata facebook...unakuta mtu anapost kila kitu kinachotokea kwenye maisha yake ya mapenzi either na mkewe au girlfriend.....huwa najiuliza ikiwa public mapenzi yanakua mazuri zaidi....eg mtu kukwambia nakupenda mkiwa pamoja....na akija kuandika mpaka jf au facebook inakua na uzito zaidi...? ila naona kama kuna kaelement either cha kutokujiamini au usanii....any way ni mtazamo wangu if at ur serious u two...kama ungekuwa unajua from the begining usinge ongea haya... ni sawa na mtazamo wako ni mzuri pia ...
okey friendsi unajua.....lkn si unajua...si hapa tu mimi nashangaa hata facebook...unakuta mtu anapost kila kitu kinachotokea kwenye maisha yake ya mapenzi either na mkewe au girlfriend.....huwa najiuliza ikiwa public mapenzi yanakua mazuri zaidi....eg mtu kukwambia nakupenda mkiwa pamoja....na akija kuandika mpaka jf au facebook inakua na uzito zaidi...? ila naona kama kuna kaelement either cha kutokujiamini au usanii....any way ni mtazamo wangu if at ur serious u two...
unataka umsaidie nini?
miss chagga mie sijamuelewa huyu dokitaokey friend
Huyo kakabwa na Wivu tu, mapenzi ya mitandao anayajua?miss chagga mie sijamuelewa huyu dokita
miss chagga mie sijamuelewa huyu dokita
Huyo kakabwa na Wivu tu, mapenzi ya mitandao anayajua?
miss chagga....naomba kuambiwa wedding coloul itakuwa ipi ili nifanye maandalizi mapema coz nataka iwe ndani ya budget yangu mwaka huu.
miss chagga....naomba kuambiwa wedding coloul itakuwa ipi ili nifanye maandalizi mapema coz nataka iwe ndani ya budget yangu mwaka huu.