This Is For you Miss Chagga!!

This Is For you Miss Chagga!!

hhahahahahahahah
na viatu ununue vipya....

581629_4653552796461_133311040_n.jpg
 
.....unacheka lakini...sijui labda mi ni mshamba....mapenzi ya kuweka public sana hasa kwenye mitandao naona ni kama kutokujiamini.....kuleteana usanii...mapenzi ya kuigiza....mapenzi original watu wanakaa wanaconstruct sio kila mtu ajue.....lakni wao wawili wanatakiwa wajue vizuri kwamba wanapendana na kuconstruct mapenzi yao......Ila kuna mtu kanipa ushauri kwamba ni-take JF-MMU serious sana
Ni kweli doctor unayoongea, vijana wa siku hizi wanapenda mapenzi ya kuigiza na kuonesha kila mtu, alafu mambo haya bora afanye mwanamke lakini mwanaume hivi unakuja kufanywa -----
 
Back
Top Bottom