mi nimeshaamka mkuu.
mambo niaje? naona ushamkatisha mtu kucha hapa vya kutosha.
Yani mkuu we anza kuandaa mbuzi ya kufunga mlango na blanket la bibi...
haina shida hayo maandalizi yanafanyika..nimemwambia wife afanye mpango wa kitchen party ila wewe hautahudhuria hiyo.
Vipi bado kuna joto nimekuja na pangaboi nimpepee
Hiyo muhimu mkuu... maana huku baridi, lazima awe ameandaliwa kweli kweli...
Huku Rombo kulishakucha bana... ni saa mbili niko shambani hapa napogolea kahawa matawi...
Hivi bado mnatumiaga ile dawa ya rangi ya green apple kuulia wadudu?vipi vinyonga wamepungua kwenye matawi?
Naona wameshafika
Ile morututu wa kijani... tunaitumia sana. Usipotumia ile vile vidudu washa watakulamiza... vinyonga vilipungua sana... kuna mzungu alikuja akanunua alfu nane nane... tuliviuza sana aisee
Ya... na mimi kwa niaba yako nimeshaweka.matangazo kwenye ule uzi wa live mtongozo...
Wapi tena?