Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Mwita Maranya.
Haujaona airport ndiyo maana unapenda kuitaja Jomo Kenyatta, haiwezi hata kuwemo kwenye airport kumi bora afrika, toa mfano
OR Tambo, Cape Town, Cairo.
Mkuu ni kweli tusiige kunya kwa tembo. Mimi nadhani wataalamu wameangalia na ukubwa wa eneo lililopo ndo maana wamekubaliana na design hii ya uwanja . Viwanja vya wenzetu wao wamejenga kwenye maeneo makubwa kiasi kwamba hata wakitaka kufanya upanuzi haiwawii shida. Tatizo la Jnia ni ufinyu wa eneo. Laity kama serikali ingezuia maeneo ya kitunda,jet lumo n.k toka miaka ile ya nyuma watu waijenge makazi, nadhani upanuzi ungekuwa mkubwa sana kwa kuwa wangekuwa na eneo la kutosha la kujenga uwanja km wa London
Kama hii unaita ya kitoto, ya kikubwa ipoje? Au baba yako aliwahi kupanda ndege wewe
Usemacho ni kweli mkuu. Eneo la pale ni finyu sana nafikiri serikali na mamlaka husika, zifanye mchakatato wa kujenga kiwanja kikubwa chenye eneo kubwa zaidi ya hilo. Hivyo vya Arusha na JK International Airport navyo pia viboleshwe ili viweze kutoa huduma bora na za kisasa zaidi.
Mkuu ndege zenyewe za ku keep viwanja bise ziko wapi? Nchi nyingi Duniani huwa viwanja vyao vya ndege hupambwa na mashirika yao ya ndege, Tanzania ni tofauti KIA ni mpaka jioni ndo utaona ndege za maana muda mwingine ni hakuna kitu wafanyakazi huishia kusoma Magazeti na kujadili ligo ya Uingereza.
Usemacho ni kweli mkuu. Eneo la pale ni finyu sana nafikiri serikali na mamlaka husika, zifanye mchakatato wa kujenga kiwanja kikubwa chenye eneo kubwa zaidi ya hilo. Hivyo vya Arusha na JK International Airport navyo pia viboleshwe ili viweze kutoa huduma bora na za kisasa zaidi.
Mkuu Bukyanagandi.Mkuu Ritz wewe umewahi kutua Heathrow Airport terminal Four, sasa hawa wa Holanzi na ma Brit kwa nini awadesign TERMINAL ya kufa mtu i.e inayo kwenda na wakati? Walao ifikie nusu ya ya terminal four - 'am afriad kutamka kwamba design hii inaonekana ya kawaida kabisa inashindwa hata Airport ya Luton Midland, binafsi nashauri Serikali ibane wazungu hawa wasije wakatuzuga hapa, washinikizwe ili wa re-design TERMINAL hiyo upya ili iendane na hadhi ya ya jiji letu linalo kua exponentially. Mkuu Ritz au jamaa hawa wametupa ruzuku nini, ndio wanataka kubania fedha zao na kutupatia jengo nyoronyoro, ukiangalia nyuma ya jengo linaonekana kama Gowdown la kuhifadhia ngano ya Bakheresa hii wapi na wapi mkuu. Kazi ya ku-design na kujenga wawape WACHINA hao ndio wanao kwenda na wakati, Waingereza na Waholanzi hawabadiriki ndio maana utakuta miji yao imejaa majengo ya design ya miaka ya 1700s, hata pale London jengo linalo vutia ni British Telcom Tower, hawa jamaa hawabadiriki! Hivi terminal hiyo inaweza ku-handle Airbus 380s kweli?
Hiyo si sababu ya msingi na kama ndio utetezi wenu basi ni utetezi hafifu sana.
Kuna watu walihamishwa kutoka Kipawa na Kigilagila kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JN inter. Airport. Lakini pia Kuna watu wanatakiwa kuhamishwa kutoka maeneo ya Kipunguni na Kitunda ili kupisha upanuzi wa uwanja, sasa kwanini serikali haiwalipi wanaotakiwa kupisha upanuzi wa uwanja ili kuruhusu ujenzi mkubwa na wa Mara moja badala ya kufanya hivi vimiradi vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji? Ni suala la kuwa serious tu na Ku prioritize..

Huu uwanja wa Jomo Kenyatta ndiyo wakuutolea mifano wakati mweingine tuwe makini wanaukumbi hebu angalieni huu uwanja hapa chini amabao Mwita Maranya anautolea mifano kila kikicha.Hawa wakenya ndio angalau tunakaribiana nao, sasa ukitaka kyjilinganisha na wasauzi au wamisri ambao Wako dunia nyingine utakuwa unacheza ndombolo msibani.
Hawa wakenya ni majirani zetu na uchumi wao hauko juy sana kwahiyo tungeweza kujifunza kwao kama tuko serious! Lakini kwakuwa tumechagua fani ya Sanaa basi ngoja tuendelee na haya maigizo.
Usemacho ni kweli mkuu. Eneo la pale ni finyu sana nafikiri serikali na mamlaka husika, zifanye mchakatato wa kujenga kiwanja kikubwa chenye eneo kubwa zaidi ya hilo. Hivyo vya Arusha na JK International Airport navyo pia viboleshwe ili viweze kutoa huduma bora na za kisasa zaidi.
Huu uwanja wa Jomo Kenyatta ndiyo wakuutolea mifano wakati mweingine tuwe makini wanaukumbi hebu angalieni huu uwanja hapa chini amabao Mwita Maranya anautolea mifano kila kikicha.
Hawa na uhakika wameishalipwa halafu halafu wewe unadhani uwanja ni sehemu zinapotua ndege tu kuna Future expansion, kuna Access, kuna Other facilites, Hotel, yote haya yanaitaji maeneo ya wazi ili yajengwe.Hiyo si sababu ya msingi na kama ndio utetezi wenu basi ni utetezi hafifu sana.
Kuna watu walihamishwa kutoka Kipawa na Kigilagila kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JN inter. Airport. Lakini pia Kuna watu wanatakiwa kuhamishwa kutoka maeneo ya Kipunguni na Kitunda ili kupisha upanuzi wa uwanja, sasa kwanini serikali haiwalipi wanaotakiwa kupisha upanuzi wa uwanja ili kuruhusu ujenzi mkubwa na wa Mara moja badala ya kufanya hivi vimiradi vidogo vidogo ambavyo havikidhi mahitaji? Ni suala la kuwa serious tu na Ku prioritize..
Hii terminal ni ya kitoto sana, Hii serikali ya ajabu sana,
Go Tanzania Go,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Love you Tanzania.Kitu kama Heathrow Airport