Mwambie maana naona sijui anaishi pori gani....Una uhakika kuwa aliyeyasema hayo ni mpinzani ...............!!?
Anyway, for your info. alikuwa mbunge kijana wa CCM!!
Bavicha inaingiaje hapa?....Chadema wana laana ya kubadili gia angani na kuwasaliti wana mabadiliko ya kweli kwa kuuza chama kwa Mafisadi.
Kafulila usiende huko akili zitadumaa kama za bavicha
Ina maana msafara wa Dr Shein umetumia gharama kidogo ukilinganisha na ambazo angetumia JPM?Suala ni kubana matumizi na siyo hoja zingine zisizo na mashiko
Haaaah naona unamtishaACHA KUROPOKA USIYO YAJUA KIJANA.......
Doh...mkuu mpinzani yupi alisema hivyo!!!!!!!?Lakini sishangai maana kuna mbunge mmoja wa chama fulani cha siasa aliwahi kusema kuwa ni bora kuweka sanamu ya diamond kuliko sanamu ile ya mwanajeshi iliyopo pale posta ambayo ni alama ya jiji inayowkilisha walinzi wa taifa. Yaani jamani ama kweli wapinzani wana vitimbwi.
Haaaah very frustrated mkuuHalafu kwa kumdharu sh..ei..n kazuia viongozi wa kitaifa wasimpokee Na kushirikiana naye kwenye shughuli hiyo....yaani amehakikisha anampa shughuli yenye hadhi ya mkoa kama ilivyo kwa zanzibar ambayo Ni mkoa kama Simiyu.
By the way, Hili limwenge Lina tija gani kwa Taifa?
Kwa ulivyoandika ndio unadani watakoma!? Zaidi sana unanukia harufu ya udas, kama sio kaliba hiyo ya uteuliwa.WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
Kijana na Mimi silipwi chochote lakini nakushauri penda kusikia usiyoyapenda masikioni mwako.....
Nilijua unaandika "Rais Magufuli"Jama pumba sanaaaaaaa
Maswali gani ya kipuuzi
Au umetumwa
Wewe MB.wa hilo ndo jibu?WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA