Thinking Critically: Kwanini Rais Magufuli hajaenda Simiyu kuzima mwenge?

Chadema wana laana ya kubadili gia angani na kuwasaliti wana mabadiliko ya kweli kwa kuuza chama kwa Mafisadi.

Kafulila usiende huko akili zitadumaa kama za bavicha
 
Halafu kwa kumdharu sh..ei..n kazuia viongozi wa kitaifa wasimpokee Na kushirikiana naye kwenye shughuli hiyo....yaani amehakikisha anampa shughuli yenye hadhi ya mkoa kama ilivyo kwa zanzibar ambayo Ni mkoa kama Simiyu.
By the way, Hili limwenge Lina tija gani kwa Taifa?
 
Kwasababu Simiyu ni karibu sana na Kagera, na mtan wangu hataki kwenda Kagera mpaka pale atakapo maliza kukusanya michango..!!

Nadhan .............!!
 
Lakini sishangai maana kuna mbunge mmoja wa chama fulani cha siasa aliwahi kusema kuwa ni bora kuweka sanamu ya diamond kuliko sanamu ile ya mwanajeshi iliyopo pale posta ambayo ni alama ya jiji inayowkilisha walinzi wa taifa. Yaani jamani ama kweli wapinzani wana vitimbwi.
Doh...mkuu mpinzani yupi alisema hivyo!!!!!!!?
 
Ilitangazwa atauzima rais Dr JPM. Na kwa vile ana uelekeo was Julius, ingekuwa safi sana. Ila labda kaangalia vipa umbele
 
Halafu kwa kumdharu sh..ei..n kazuia viongozi wa kitaifa wasimpokee Na kushirikiana naye kwenye shughuli hiyo....yaani amehakikisha anampa shughuli yenye hadhi ya mkoa kama ilivyo kwa zanzibar ambayo Ni mkoa kama Simiyu.
By the way, Hili limwenge Lina tija gani kwa Taifa?
Haaaah very frustrated mkuu
 
WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
Kwa ulivyoandika ndio unadani watakoma!? Zaidi sana unanukia harufu ya udas, kama sio kaliba hiyo ya uteuliwa.
PLEASE BEHAVE WHEN YOU ARE IN PUBLIC
 
Yaa itamsaidia sana maana anaweza kuambiwa alipatikana kutokana na mchakato wa ubakaji na hatachukulia seriously. (asije anza kuwaza "sijui mdingi ni Scorpion au!!?)
Kimsingi umempa somo kubwa sana.
Kijana na Mimi silipwi chochote lakini nakushauri penda kusikia usiyoyapenda masikioni mwako.....
 
Kwa maoni yangu mimi nadhani Mheshimiwa rais Magufuli ameamua kumpa heshima Dr. shein ndiyo maana yeye hajaenda huko.
 
WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
Wewe MB.wa hilo ndo jibu?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom