Thinking Critically: Kwanini Rais Magufuli hajaenda Simiyu kuzima mwenge?

Labda kwa sababu za umoja kati ya Tanzania Bara na Tanzania Bara ndio maana akamteua Dr. shein aende na pia labda ana majukumu mengine ya muhimu
[HASHTAG]#Muungano[/HASHTAG]
 
WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA
Mnona nawewe umo humohumo kwaninin unaandika na kuweka zaidi yaupuuzu muda wote nivizuri nawe ukawasikiliza wote
 
Kwani SHEIN ,JENISTA, KRISTIKO, MATAKA ................hawatoshi ? MZEE mwache Aipange NCHI ..maana aliikuta iko ktk Machine inapumua!
 
hajaenda sababu zipo ikulu mengine yote haya ni kudanganya au ni hisia zetu ambazo wakati mwingine ni za kweli na wakati mwingine ni za uongo...kwa mfano ya kwangu hii hakwenda kwa sababu aliwazuia wenzake wasiende
 
Kwa Bahresa alienda, Mabohora akaenda lakin tukio la kitaifa No. Kazi ipo.
Rimwenge hili linatumia gharama kubwa kuriwasha hadi kurizima na ili kusudi tu kuzindua miradi ambayo ni hewa.Nitaritumbua tu haki ya mungu...Hatamkiraramika!!!
 
WE jamaa ni mpuuzi sana .......Hivi hamnaga kazi za maana za kufanya??????ZAIDI YA KUANDIKA MUDA WOTE UPUUZI?????????ebu kuweeni na nidhamu wakati mwingne si kila siku nyie ni kuandika tu......VITU VINGNE VINAKERA SANA........haya ndio madhara ya kushikiwa ufahamu wenu na hao viongozi wenu wa UFIPA

Mpuuzi ni wewe kenge mkubwa
 
Back
Top Bottom