Think of this...,

Ijuganyondo

Member
Jan 13, 2011
62
1
Asalaam aleykum wanajf,katika pitapita yangu katika vyuo viwili vitatu hapa tz nimekuwa nikiwasikia some ladies wakisema'mimi siwezi kumpenda mwanachuo mwenzangu!hana hata gari? Atanipa nini?atanipeleka wapi?' kwa kweli wana jf nilishtushwa na kusikitishwa na kauli hizo! Wanajf what does this mean?! Nawasilisha..,
 
mwanafunzi mwingine huyooooooooooooooooooooooooooooo

Hebu someni jamani sio mnavamia tu jukwaa
 
Asalaam aleykum wanajf,katika pitapita yangu katika vyuo viwili vitatu hapa tz nimekuwa nikiwasikia some ladies wakisema'mimi siwezi kumpenda mwanachuo mwenzangu!hana hata gari? Atanipa nini?atanipeleka wapi?' kwa kweli wana jf nilishtushwa na kusikitishwa na kauli hizo! Wanajf what does this mean?! Nawasilisha..,

Why should I think of this upupu post?
 
None sense, as bado wanatunguliwa tu humohumo mahostelini mwao na hata kwa wanaume wanaosoma nao.....!
 
Asalaam aleykum wanajf,katika pitapita yangu katika vyuo viwili vitatu hapa tz nimekuwa nikiwasikia some ladies wakisema'mimi siwezi kumpenda mwanachuo mwenzangu!hana hata gari? Atanipa nini?atanipeleka wapi?' kwa kweli wana jf nilishtushwa na kusikitishwa na kauli hizo! Wanajf what does this mean?! Nawasilisha..,

asi ungewauliza wenyewe jaman
we umeskia ukooo afu waleta apa et walikuwa wanamanisha nini ..ahh dhambi ya nani moton aende nan?
kawafate uwaulize wanamaana gan then ulete jbu apa sawa?
 
si lazima wooote tuwe wanamuziki wengine tunaweza kuwa washabiki tu!:frusty::frusty::frusty:
 
Njaa ndo inawasumbua,wakikua wataacha.......It means dunia imebasilika,hapendwi mtu bali alichonacho......lol

Una option ya kusikiliza wasio chuo pia,kupenda hela ni tabia ya mtu si wote,wako popote wasichana wa namna hiyo si chuo tu.
 
Ndo shida ya Mitoto ya siku hizi!!!

Njaa ndo inawasumbua,wakikua wataacha.......It means dunia imebasilika,hapendwi mtu bali alichonacho......lol

Una option ya kusikiliza wasio chuo pia,kupenda hela ni tabia ya mtu si wote,wako popote wasichana wa namna hiyo si chuo tu.
 
Ijuganyondo - Waitu Mushanage!

Sasa wewe badala ya kupiga book unakalia umbea na majungu! Strange!
 
Sasaaa km wanapenda wenye pesa c wao.we inakuhusu nn? acha umbeya
 
uzushi tu..
wala usipate pressure...
maana hao hao wana chuo ndo millionaire baadaye.....
je bado watawataka kipindi hicho???
 
when it comes Nye.ge magari na pesa na takata zote huwa hazikumbukwi
 
Back
Top Bottom