Things that keep you up at night...

Things that keep you up at night...

And you presume everybody watches tv series? And top gear?
aaagh!
halafu dissertation sio reading, ni studying

Mh! Kuna sehemu nimesema ni reading? Nilichosema kuhusu reading na vitu nilivyo mention ni tofauti my dia ndio maana nikaanza in a new paragraph.I don't read at all and so do most of Tanzanians
 
na ndio mimi nakukatalia, kwa sababu wewe unapenda kuangalia series usi-assume kwamba watanzania 80% hawapendi kusoma. Infact some of us tunajutia hii mitandao na masimu ya kisasa (isingekuwa convinience ya emails ningepaswa kuwa na simu ya tochi tu). Kutwa nzima tunasogoa kama waswahili wa pwani kabisa. Mie nnayekaa ofisini kutwa niko whatsup, viber, jf, na fb na telegram sijui nini, sina tofauti na mwanamke wa magomeni migo migo aliekaa kibarazani na khanga moja akipiga stori na majirani zake.

mitandao imeiba muda wetu wa kusoma aisee! i used to read a book a week:angry::angry:

Studying...
Shule ya uzeeni kwangu ni janga ila ndio hivyo
 
Ha ha haaaa kaka Kaizer umetishaaaa!!!!!!

Kikombe kiniepuke aseee!!!!!

hivi ule mjadala wa menengitis uliishia wapi unajua siku ile ilikuwa mbaya sana aiseeee

hawa ndugu zetu hawa kaka ukiwachokoza hawakubali kushindw
 
na ndio mimi nakukatalia, kwa sababu wewe unapenda kuangalia series usi-assume kwamba watanzania 80% hawapendi kusoma. Infact some of us tunajutia hii mitandao na masimu ya kisasa (isingekuwa convinience ya emails ningepaswa kuwa na simu ya tochi tu). Kutwa nzima tunasogoa kama waswahili wa pwani kabisa. Mie nnayekaa ofisini kutwa niko whatsup, viber, jf, na fb na telegram sijui nini, sina tofauti na mwanamke wa magomeni migo migo aliekaa kibarazani na khanga moja akipiga stori na majirani zake.

mitandao imeiba muda wetu wa kusoma aisee! i used to read a book a week:angry::angry:

King'asti , wala usilaumu smartfone dadangu, you better have a censure of ownself.

Wakati yule mdada wa mtaani yupo kibarazani, katandika mkeka anapiga umbeya, kuna mwenzake nextdoor kaenda barabarani kuuza vitumbua, mwingine kaenda bombani kuteka maji nk nk...

Likewise, wakati ww umecharge smart4n yako upo Fb, Jf, wasap, vober, insta nk, mwenzako nextdoor anadownload manovel ayasome...
 
Last edited by a moderator:
hivi ule mjadala wa menengitis uliishia wapi unajua siku ile ilikuwa mbaya sana aiseeee

hawa ndugu zetu hawa kaka ukiwachokoza hawakubali kushindw

Waliibuka waungwana wakamzozomokea mbaya kabisa, hooe unaendelea bado!!!!!

Ha ha haaa ushasema ndugu zetu mkuu, tutamaliza kindugu tu kaka au uongozi wa familia unakushinda???!!!
 
hivi ule mjadala wa menengitis uliishia wapi unajua siku ile ilikuwa mbaya sana aiseeee

hawa ndugu zetu hawa kaka ukiwachokoza hawakubali kushindw

Hahahahah mbona ka unazidi kuchokonoa vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom