Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)


Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
4,164
Likes
3,621
Points
280
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
4,164 3,621 280
Proof that you've never visited Nairobi, or left Tanzania for that matter.
Hata mi nashangaa sometimes, yani jamaa anaamka na claim ya kimaajabu ambayo kila mtu ashawahi kupitia hio barabara anajua footpath na cyclist lane iko kuanzia mwanzo hadi mwisho, yani mpaka unashindwa uambie nini mtu anaesema hakuna...
 
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,754
Likes
2,477
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,754 2,477 280
Kama walivyoshuhudia mwendokasi ikianza ikaisha na sasa inaendelea basi ndivyo hivi hivi watashuhudia project bora africa na dunia ya highway ikianza na kuisha ,,,,na mwisho wa picha watabaki kutoa macho tu na kutafuta pakutokea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,303
Likes
5,650
Points
280
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,303 5,650 280
Kazi ngumu itakuwa kwenye overpasses,ila nayo ni sekunde tu itamalizwa.
Hizi barabara wanazojenga hasa ya pale ubungo zinamigongo na tuta kwenye maungio na barabara ya zamani.. Sijajua it was makusudi au imetokea bahati mbaya.
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
10,538
Likes
6,863
Points
280
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
10,538 6,863 280
Hizi barabara wanazojenga hasa ya pale ubungo zinamigongo na tuta kwenye maungio na barabara ya zamani.. Sijajua it was makusudi au imetokea bahati mbaya.
Ukiona hivyo ujue nazo za zamani hazina maisha marefu,zitakwanguliwa na kuwekwa upya.
 
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
2,937
Likes
1,500
Points
280
J

Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
2,937 1,500 280
Vijinga vinalalamika eti wakenya wanapenda kujilinganisha nao na nyuzi za kipuuzi kama hizi zinafunguliwa na watanzania.
 
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
380
Likes
330
Points
80
F

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2017
380 330 80
Mention a few please
And you think we are asleep?? we know how that PR works, keeping the president in the news always busy about some project.
We have so many projects being launched or under construction here, launched by Governors, The deputy president and Ministers, such that the president only attends the biggest ones. If we open a thread for each of them there will be nothing else to discuss.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,357
Members 485,558
Posts 30,121,100