Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Huko dar ata flyover bado apa tuko mambo ya elevated roads na bado Nai-Mombasa expressway. Mtasoma number sana.
Nakuelewa huelewi
Amkeni.. mnabebwa ufala
IMG_20191017_192744.jpeg
 
Kama kubebewa ufala ni kujenga new cities, interchanges na expressways nawelcome huo ujinga na mikono zote mbili
Vijana wakenya mmelala mpaka wazee wanapewa kazi zenu, wakina Wambui. Nyie mnabaki mki lialia tu kwenye social media
 
Back
Top Bottom