Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

SGR tumepigwa wapi? I think as at now it's very clear why our SGR is expensive, compare Kenya's track with yours and also compare Kenya's stations with yours.
Watu vilaza sana wametoka kwenye hoja ya mwenye uzi
Hoja hapo ni costs per km na sio hizo Blah blah
Mlipigwa kwenye reli ya SGR mmepigwa highway mmepigwa so ni kawaida yenu kupigwa


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za kibaha tufanye comparison na Dongo Kundu
1553608282389.png

1553608306825.png

1553608325814.png
 
Back
Top Bottom