Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,160
- 5,569
Mimi ninao ushahidi kuwa Mungu yupo.Itatosha kumaliza hili au mpaka uone huo ushahidi?Lazima mwizi ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.
Mkimalizana hapohapo, utakuwa hutumii sheria, unatumia maamuzi yako binafsi. Kinyume na sheria.
Sasa nyie mlihakikisha vipi na mna uthibitisho upi wa kwamba Mungu yupo?
Maana mpaka kufikia kusema Mungu yupo, ina maana kuna aliyewahi kumshuhudia.
Sasa ni nani aliwahi kumshuhudia huyo Mungu?
Ni nani alimshuhudia huyo Mungu yupo, akahitimisha kweli yupo?
Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake, Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na imani.
Kila mtu angejua Mungu yupo kwa uhakika kabisa bila imani.
Kisicho kuwepo ndio hakijulikani.
Kilichopo kinajulikana.
Sasa ninyi mnadai Mungu yupo, ina maana mnaju yupo.
Sasa mlijuaje yupo?
Mnathibitishaje yupo?
Tutajuaje kwamba kitu hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa ku prove kipo?"
Nani kazidiwa?React kwenye comment za Allen Kilewella tu huoni kama ndugu yetu kadhidiwa 🤣🤣🤣
How did you know there is necessary being?It’s not about faith—logic doesn’t depend on belief. Contingent beings need a cause; an infinite regress is impossible. Therefore, there must be a Necessary Being—uncreated, without beginning. This is reasoning, not mere faith
Probably uko sahihiUkitumia akili yako vizuri, kuna NGUVU KUBWA YA ASILI INAYOONGOZA HUU ULIMWENGU. Jina la hili nguvu silifahamu.Wewe unalifahamu??
Sasa thibitisha Mungu yupo. Maana unakiri una ushahidi.Mimi ninao ushahidi kuwa Mungu yupo.Itatosha kumaliza hili au mpaka uone huo ushahidi?
Kumhisi ndiyo kukoje... Mpaka useme sasa namhisi Mungu inatakiwa iweje?It's simple, kwa kua hajamuona, hajamsikia, hajamuhisi
Mantiki haiambatani na contradictionTunajua kwa sababu ni mantiki, Logic, kila kiumbe contingent kina chanzo, msururu hauwezi kuwa usio na mwisho.
Hivyo lazima kuwe na Kiumbe wa Lazima—asiyeumbwa, asiye na mwanzo. Quran inathibitisha hili kwa maneno: “
” (Surah Al-Ikhlas 112).
1.Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 2.Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 3.Hakuzaa wala hakuzaliwa . 4.Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. .
Mantiki inathibitisha, na revelation inathibitisha
Jee kanuni ya uthibitisho kwamba Mungu yupo ni kanuni ile ile ya mkatale kwamba Mungu yupo?Mzigo wa uthibitisho unamwangukia mdai wa hoja .
atheism inakataa dai lisilo thibitishwa , likithibishwa hakuna atakae kataa dai lako .
Hapa sitaji vifungu kiongozi.Ushahidi nilionao unaoneka.Hapa zitabaki porojo tu.Kama huko interested utanitafuta napatikana otherwise hapa hamtafika hitimisho.Binadamu pekee nayeweza kuprove kuwa Mungu yupo ni mimi lakini mpaka unione sio ushahidi wa maandishi au vifungu vya maneno ya watu wa kale hapana.Ni kitu kinachoonekanaSasa thibitisha Mungu yupo. Maana unakiri una ushahidi.
Na mimi sijasema umedai revelations zinatoa proof, rudia tena kusoma nilichoandika utanielewa.Sijasema revelations zinatoa proof kwamba Mungu yupo.Haya sio maneno yangu.Nimesema revelations zote zinabaki kama Miongozo tu ya kusema Mungu yupo lakini haziwezi kuprove chochote.
Mungu kwangu ni muumbaji,na mamlaka iliyo juu ya mamlaka zote(nimechukua maneno kutoka kwenye vitabu vya dini sio maneno yangu)
Mantiki haiambatani na contradiction
Mantiki inakataa kitu kuwepo bila chanzo.
Ngoja nikufikirishe.
Kwamba Mungu alikuwepo yeye kabla ya chochote si ndio?
Alikuwepo wapi?
Hapo alipokuwa paliumbwa na nani? Unaweza kunichorea picha kupitia maelezo nipate concept?
Kama alipaumba yeye maana yake hapo sio kabla ya chochote.
Au unaweza kunipa mfano wa kabla ya chochote ni upi?
Yuko wapi sasa huyo mungu...?Umejuaje kama hakipo? Kwa nini unasema hakuna Mungu?
Ufinyu wako wa kusoma na kuelewa mada ndiyo umekupotosha.Yaani hapo tayari umeshaonyesha uelewa finyu wa mambo.
Kwa kuanzia tu, ambacho hakipo utathibitishaje kwamba hakipo?
Hapo tayari ushaonyesha uwezo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo kwa mantiki.
That's the same description of something that does not existSwali lako lina kosa la msingi: ‘wapi’ na ‘kabla’ ni dhana za nafasi na muda.
Allah hakuwepo ndani ya muda wala nafasi—yeye ndiye aliyeumba muda na nafasi. Kuuliza ‘alikuwa wapi kabla’ ni kama kuuliza kaskazini ya kaskazini—ni contradiction ya mantiki
Ok,Mungu yupo.Mwenye kutaka proof anitafute.Anayetaka porojo anaweza kuendelea.Kiufupi huwezi kupata hitimisho hapa.Mbaya zaidi na wale watakao anza kuleta vifungu vya biblia au quran kujaribu kuprove uwepo wa Mungu hapo ndio hamtamaliza.Lakini kwa ambaye yuko interested ninao ushahidi tangible sema sio wa maandishi na hata nikikueleza hapa huwezi kuamini zitabaki porojo ukioniona unaweza kuelewa hili.Na mimi sijasema umedai revelations zinatoa proof, rudia tena kusoma nilichoandika utanielewa.
Umesema umechukua maneno hayo kutoka kwenye vitabu vya dini.
Kwa hiyo ni maneno ya kuaminika kwasababu yametoka kwenye vitabu vya dini?
A Necessary Being isn’t assumed—it’s concluded.How did you know there is necessary being?
Don't force your Allah to be a necessary being.
Prove how did you know there's necessary being?
And why only Allah is a cause not Jesus, not Zeus, not Krishna?
Kwa ivo wewe kwako mungu ni picha?Yuko wapi sasa huyo mungu...?
Weka hata picha yake tumuone...