Kha! iduor..nitafisrie kichwa cha habari bana!
lini, wapi, nani...?...
In ths world Preta,watoto wanazaliwa hawanyonyeshwi maziwa ya mama na unakuta mama hana sababu ya kutomnyonyesha mtoto jaman
<br />Haujaelewa?
na atueleze baada ya utafiti.....aliweza kugundua kuwa watoto wengine huwa hawanyonyeshwi baada ya kuzaliwa kwa sababu za kiafyaHiyo research yako umefanyia wapi??? Tanzania au wapi?????