There really is a thin line between love and hate...... oh yes


kuumia, hasira na wivu ni tofauti na kuchukia, kuachana kupo ila sio lazima muachane kwa visa, kama wewe umekosa kuwa mpole, lakini mwingine akimchoka mtu anamfanyia visa ili amuache, hapo ndipo chuki inapoanzia, najua ni vigumu ila kama visa vinaepukika ni bora. Heshima iwepo na sio kuoneshana ni nani zaidi.
 
You are such an inspiration. I admire that. Good day.
 
Ukitaka usihangaike na haya yote, kata mawasiliano for good, hutajua if someone is hating or loving. Mambo ya kubaki friends, ndio na shetani hupitia hapo hapo, mara mnakumbushia mara meddling in each others life bila mpangilio.
 
Mimi na wewe rafiki hapana iko kosana!


Sio hivyo Rafiki yng, Jana Nilikua na Uzuru sn saa 6 za usiku ndio napata nafasi ya kushika simu!

Jamani Karucee wng usiseme hivyo best yng! Maana Mimi na wewe tumetoka mbali sn! Tangu Z'bar!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka usihangaike na haya yote, kata mawasiliano for good, hutajua if someone is hating or loving. Mambo ya kubaki friends, ndio na shetani hupitia hapo hapo, mara mnakumbushia mara meddling in each others life bila mpangilio.


Baaas hiyo ndio kata mzizi sio leo mna access na.mipira ya pichu halafu kesho mko friends ati!!!!
Nani kasema? ???!!!!Mapenzi yakiisha chapa lapa for gud mkikutana salamu inatosha misiba kama kuna nafasi not bad ku attend sio mpange dinner ati just for fun!!!!!!

Uchochoro wa multiple concurrent partners!!!!!!
 
Sio hivyo Rafiki yng, Jana Nilikua na Uzuru sn saa 6 za usiku ndio napata nafasi ya kushika simu!

Jamani Karucee wng usiseme hivyo best yng! Maana Mimi na wewe tumetoka mbali sn! Tangu Z'bar!!!!

I know, wewe kuchelewa kujibu won't make me feel bad or ignored hun. Wala usijali.
 
Ukitaka usihangaike na haya yote, kata mawasiliano for good, hutajua if someone is hating or loving. Mambo ya kubaki friends, ndio na shetani hupitia hapo hapo, mara mnakumbushia mara meddling in each others life bila mpangilio.

True that Kongosho.
 
...Unrealistic Expectations zikizidi Common sense matokeo yake ndio hayo,
bahati mbaya wengi wetu inabidi yakukumbe kwanza kabla ya kuelewa somo,

Minority few wao wana expectations zao kwamba somebody out there is meant to be theirs tll death do them part
halafu kuna majority waliojikatia tamaa.

 

hahaa again thank you.........., I would like to have that fast steak dinner with U........
I think it will be good....

Queen of the jungle VS King of the Jungle whats going on.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…