Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 520
- 1,055
Me nachojua kuna uchawi wa kitabu ambao una andika maneno chini au kwenye karatasi una yakanyaga alafu yanakusafirisha mpala sehemu unayo itaka.
Uchawi huu ulituka sana kipindi cha nyuma haswa na mababu zetu na watu wenye uwezo mkubwa katika jamii kama viongozi.
Kuhusu ku go back in time hapo sidhani maana science yake kidogo ina hitaji akili nyingi kama ya speed eti iwe kali kushinda mwanga ndo uweze kumove toka dimension moja kwenda nyengine na ukiangalia mpaka sasa hakuna proof yeyote inayo pinga light is faster than sound