Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,726
- 145,433
Kwani nikikuuliza theory ni nini maana yake sijui theory ni nini?Sijakejeli theory, bali nilisema "theory itabaki kuwa theory haijalishi nini kipo ndani ya theory.
Uliniuliza ushawahi kuiona 1.
Nikakuletea "ushawahi kuiona KULA?" sababu nayo inashabihiana na swali lako.
Nimekuuliza ili ufafanue swali lako.
Ina maana muda wote ulikuwa unaongelea kitu ambacho hukijui?
Hujui hata theory ni nini?
Hapana nimeuliza ili ufafanue swali sababu swali lako halijafafanuliwa na mpaka sasa inaoneka umeshindwa kufafanua swali lako.
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Socratic question?
Theory ni nini?
Unajua Relativity Theory inasema nini?