Spacefox
Senior Member
- Aug 10, 2020
- 112
- 120
Kumekuwa na Gumzo kubwa duniani kufuatia nadharia inayodai kuwepo kwa uwezekano wa kusafiri kwenye muda (Time travel).
Ingawa kuna mvutano mkubwa juu ya ukweli wa hili jambo kwa upande wangu naona haliwezekani kwasababu zifuatazo;
Dunia ni moja
Dunia ni moja na matukio yote yanayotokea hutokea kwa muda mmoja na hupita, sasa ukirudi utarudi wapi?
Future bado haijatokea
Sisi ndio tunapelekea future kutokea sasa inawezekanaje hiyo future uione kabla haijafanyika?
ni mtazamo tu..
Niko tayari kukosolewa