Template ipo sema tuu sie wanadamu tunajidai kichwa ngumu.Mkuu umeongea sahihi sana.I wish kila mwenye kuomba ushauri wa changamoto ya mahusiano apitie uzi huu.Msisitizo 'There is no template for relationship'.

Fuata template aliyyotupa muumba wetu.ipi hiyo?
Then nifanye mpango wa kutafuta dawa ya kuondoa hisia za kimapenzi. Nibakize hamu za kugegeda ila sio ile kuzama kwenye mapenzi niwe kama beberu, huwa halifumanii wala halina ndoaHapo unakuwa hujakwepa stress mkuu, bali umezibadilisha uelekeo tu.
Yeah,maneno tofauti lakini naamini tunamaana sawa.Template ipo sema tuu sie wanadamu tunajidai kichwa ngumu.
nakuheshimu mkuu. Ila hata hivyo siwezi mlaumu mtu anayeumia au kulia sababu ya mapenzi regardless jinsia yake. Hizi mambo zinaumiza saaana.
Sanaaaa🥺🥺🥺🥺🥺nakuheshimu mkuu. Ila hata hivyo siwezi mlaumu mtu anayeumia au kulia sababu ya mapenzi regardless jinsia yake. Hizi mambo zinaumiza saaana.
Hata sijui Kwanini hii kitu iliwekwa 🥺🥺Ni kweli mkuu.