Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,493
- 235,182
Hivi darsa linaanza lini?ondoa shaka, atabadilishwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi darsa linaanza lini?ondoa shaka, atabadilishwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapepo wanayo watu wanaoangalia movie[emoji23]Ilo ni pepo
hujakutana na series za wakorea wewe......[emoji23]Mapepo wanayo watu wanaoangalia movie[emoji23]
Unakuta watu wanakesha hadi usiku wa manane utadhani wanawanga[emoji1787]
ukiwa tayar toa taarifa, andaa daftari na kalamu mapema!Hivi darsa linaanza lini?
Nimekaa shule miaka na miakahujakutana na series za wakorea wewe......[emoji23]
Mimi nilishaandaa tangu Janaukiwa tayar toa taarifa, andaa daftari na kalamu mapema!