Ila bikra sio kigezo cha mtu kutulia mkuu. Kumbuka hata hao unaokutana nao pia at the beggining walikuwa bikra ila mwisho wa siku waliachana na waliowatoa hizo bikra.... So sababu ni nyingi za ili uhusiano utulie, na inategemea pande zote mbili sio kwa mwanamke tu.Bila bikra hakuna mke Boss.
Hizo zingine ni porojo.
Bikra sio uaminifu kwa mwanamke tuu bali hata uzao wako unakuwa wa baraka
Hapo ni kutegemea rehema za Mwenyezi MunguIla bikra sio kigezo cha mtu kutulia mkuu. Kumbuka hata hao unaokutana nao pia at the beggining walikuwa bikra ila mwisho wa siku waliachana na waliowatoa hizo bikra.... So sababu ni nyingi za ili uhusiano utulie, na inategemea pande zote mbili sio kwa mwanamke tu.
After few years mnachokana au sio? Ila naamini ukiwa na aliyesahihi kwako, kila kitu kitanyooka tu.Ukiondoa Sex /Mgegedo/kulana/kutiana/kugongana/kutombaner.....hakuna kitu kinachoitwa mapenzi sijui mahusiano katika dunia hii!!.
Mbaya zaidi siku hizi watu wanaoa na kuolewa kwa lengo la kutombaner tu na siyo kuanzisha familia na kujenga kizazi bora kijacho.
Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu maana mkishagegedana mara kadhaa baada ya muda kila mmoja anaanza kuona mwenzake hana jipya ndo hapo sasa kuchepuka kunapoanzia.
Mind in you that binadamu tumeumbwa na Hulka ya kukinai na kuviona tulivyonavyo havina maana Bali tusivyonavyo.
Zimebaki siku chache Sana mkuu mwezi uishe ,ngoja tuoneThanks. Ila threads bado zinaendelea kuwekwa daily mkuu.
Mkuu kugongewa ni kawaida...Mbona maboss wanagongewa kila kukicha?