That’s your opinion; which is not my reality!
Mwanamke mwenzako anachapwa na wewe unasema ana raha?
Mtu anataka kuondoka anachapwa fimbo ili abaki unasema ana raha?
Hiyo ni abusive relationship.
LIKUD huo mtindo usifanye mbele yangu.
Tutakutafutia zawadi ya Man of the yearNa nikimchapa fimbo akifuta naanza upya
Sometimes people create their reality and live upon it.
Back to.my point. Maneno gani unamwambia mwanamke wakati una.break up NAE ?
Kwamba it's over between us ?
Ooh kuanzia Leo Mimi na wewe basi ?
Mbona ni kama.utoto utoto Fulani hivi!
Au inatokeaga automatically kwamba mnajikuta tu mmebreak up?
Mimi maugomvi kama hayo ya mtu kumpiga mwanamke nayapenda sana. Nakupasua ili ukiona kovu ukumbuke tabia mbaya siyo ishu.I will do it a million time na akishika nafuta naanza upya..Shaabash!!!
Just come to think of it. Nimekufumaniana unaniwekea uchawi kwenye chakula au unagongwa. Kipi bora? nikutandike bakora yaishe tuendelee na maisha yetu kama kawaida . Au nikupige talaka nioe mwanamke mwingine aje akutesee watoto wako?
Una maanisha nini mkuu,hasa hiyo kauli ya mwisho?Nothing personal kaka..And.am.not that candy..
By the way Mimi mwanamke kwangu ni kama.mtoto wangu ..Nikimfumania badala ya kumpa talaka namchappa sana fimbo.na naendelea kuwa NAE.
Siku akiniambia ' mi naondoka : nachukulia kama mtoto wangu wa miaka mitatu ananiambia " baba.mi naondoka" so I will just tell her ur not going anywhere na aki insist nachuma fimbo namtandika huku namwambia ' unataka kuondoka kwenda wapi ..
Najua wewe akikwambia ondoka utamjibu " ONDOKA!"
Thats whats up!Been there, done that, women are like buses, you miss one you catch another, no hard feelings. I am not a keeper Mkuu.
Hamna demu mkali man, kwani anang'ata!!?Kama unatoka na.mademu wa kawaida then.break.up is so easy but kama unatoka na.demu mkali then.why do u have to break up with her?
Mkuu huu n ukweli 100% .. Tena hapo mwisho ndo nazidi kukubaliana na wewe zaidi ... Videmu vya kibongo Vingi vinapenda drama kiasi kwamba wanaona Ku break up n km swagger hv ..Shem on them..Maisha haya buana eti siku hizi na wabongo na sisi tuna break up na Ku move on..Like serious ..!!! Hahahahaha . are we for real au tunawaiga tu wazungu? Kama.alivyo sema Lord Eyes kwenye wimbo Ndio Zetu " They can't figure wazungu wana act wabongo wanaiga"
Unakuta ki slay queen kimezaa watoto watatu na mwanaume halafu kinakwambia " Tumebreak up na baby daddy wangu" uliza sababu sasa..Utoto utoto tu na kuiga umagharibi na celebrities wetu wanao IGA uzungu like Zari and company.
Halafu wakisha break up wanaanza kutengeneza " I am.unbothered impression " kwenye social media more specifically Instagram.
Something which is very fake
Break ups and moving on bullshit are Satanic Inventions.He first broke up with God in Heaven and introduced this evil doctrine to humanity via Adam.and Eve in the Eden.
People loves only once in their lifetime ..
True lovers would rather fight for their love than .thinking about break up and.moving on bullshit.
Ukiona watu wamereak up na Ku move on jua hakukua na upendo wa ukweli kati yao na kama walikuwa wanapendana kiukweli ukweli basi jua they live in denial na wana grudges towards each other na pengine ndio sababu takwimu zinaonyesha kuwa mauaji mengi ya kimapenzi huwa yanatokea baada ya watu kuachana " Ku break up na ku move on "
More interesting wadada wengi wa kibongo huwa wana break just for the sake of the name itself ..
Kwa hiyo mnakuwa kama mmenuniana au kuchuniana.?
Anyways sababu ya kufanya hivyo
What? [emoji848]Nothing personal kaka..And.am.not that candy..
By the way Mimi mwanamke kwangu ni kama.mtoto wangu ..Nikimfumania badala ya kumpa talaka namchappa sana fimbo.na naendelea kuwa NAE.
Siku akiniambia ' mi naondoka : nachukulia kama mtoto wangu wa miaka mitatu ananiambia " baba.mi naondoka" so I will just tell her ur not going anywhere na aki insist nachuma fimbo namtandika huku namwambia ' unataka kuondoka kwenda wapi ..
Najua wewe akikwambia ondoka utamjibu " ONDOKA!"
To break up is to give up. Don't give up.Some relationships just peter out.
And at that point you just use your common sense and keep it moving.
I’m not a clingy type of person. Never have, never will be.
My philosophy with respect to relationships is, they are voluntary.
I don’t need to force anyone to be in one and likewise, I don’t want anyone to force me to be in one.
If things click, go for it by all means.
If things don’t workout, life goes on. KIM [that means Keep It Movin’].