Pasta Joshua
Member
- Aug 2, 2020
- 23
- 131
Huu ni uzoefu binafsi au ni utafiti?Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Hakuna faida yeyote ya kukumbukwa kwa mema au mabaya.Kwa mantiki yako.
Kuna aja gani na faida gani ya kukumbukwa kwa hayo mema ikiwa hakuna maisha baada ya kifo, How hayo mema yanakuwa na faida kwako sasa???
Ardhi hahitaji miili iliyokufa kwa ajili ya rutuba.Faida yako ni kwenda kuongeza rutuba ya udongo ardhini.
Unaushahidi..........?Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Na hili ndio neno la uzimqThe same kwa binadamu.
Anaweza kuishi hata bila msaada wa Mungu, binadamu amekuwepo kabla ya Mungu.
Mungu akimsaidia atakufa hata asipo msaidia atakufa vile vile
Unathibitisha vipi kwamba ardhi ilikuwepo kabla ya binadamu kuwepo?Ardhi hahitaji miili iliyokufa kwa ajili ya rutuba.
Ardhi ipo kabla ya binadamu kuwepo.
Miili iliyokufa inaweza badala ya kuzikwa ikachomwa moto, na ardhi itakuwa na rutuba
Kati ya binadamu na ardhi: binadamu aliikuta ardhi au ardhi ilimkuta binadamu?Unathibitisha vipi kwamba ardhi ilikuwepo kabla ya binadamu kuwepo?
@PastaJoshua kuna muujiza huku!ππHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Kama kuna jambo ambalo hatuwezi kulitenganisha na Mungu; jambo hilo ni ulimwengu.The same kwa binadamu.
Anaweza kuishi hata bila msaada wa Mungu, binadamu amekuwepo kabla ya Mungu.
Mungu akimsaidia atakufa hata asipo msaidia atakufa vile vile
Do you know anything about rebirth? And reincarnation??Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Hakuna kilichomkuta mwenzake.Kati ya binadamu na ardhi: binadamu aliikuta ardhi au ardhi ilimkuta binadamu?
Umezisahau dini za Uhindu na BudhaDini ni njia, uislamu ni njia ukristo Pia ni njia.
Sasa Basi Dini zote zinakubali kuwa kuna Maisha baada ya kifo.
Ila ukitoa maandishi ambayo yameandikwa Karne Zaidi ya 23 zilizopita(Bible,Quran)
Hakuna ushahidi wa moja Kwa moja unaoonyesha Maisha baada ya kifo, bad thing is hakuna aliekufa akarudi.
Imani ni bora kuliko Dini.
Wewe amini unavyo amini.
Ila hakuna scientific evidence kuwa kuna Maisha baada ya kifo
Maisha baada ya kifo ni sawa na Maisha kabla ya kuzaliwa unajua ulikuwa wapi??
Then Ivo ndugu