There is no life after death, ni uongo

There is no life after death, ni uongo

MUngu yupo na anashudiwa na kazi zake. The architect of the universe
 
Naomba kuelimishwa, kama ardhi hurutubishwa na mizoga yetu watu tukizikwa,

vipi huko kwa Wahindi wanakochoma maiti ardhi yao ina rutuba au haina rutuba?
Vipi huko ambako miili ya wafu makaburi yao yana taizi ndani hadi nje ardhi zao zikoje?

Vipi ambako wanazika miili na inakutana na udongo kabisa je ardhi zao huwa hawahitaji mbolea ili kurutubisha?
Viumbe hai Vinakufa ,
Viumbe hai Vikifa vinaoza,
Vikioza ni rutuba Kwa ardhi .
Je, kiumbe hai ni binadamu tu huko India?
 
Kuna miti inakufa ,inaoza ,nyasi pia zinaoza..
Zikioza zinaongeza rutuba kwenye ardhi.
Mwili kuchomwa moto haimanishi hautochangia kuongeza rutuba kwenye ardhi, Kwa kiumbe hai wa aina yeyote akichomwa moto, mabaki yake (majivu) huongeza rutuba kwenye ardhi.
Pia ardhini Kuna viumbe hai wanaoishi ndani yake. Na hawaishi milele, kifo hatima ya kila kiumbe kinachoishi.
Ni kweli mimea na wanyama kwa kufa na kuoza hufanya udogo kuwa na rutuba. Lakini si kweli kuwa miili ya watu iliyokufa ni lazima kwa kurutubisha udongo.

Sababu ardhi haitegemei binadamu.

Aidha, unapochoma miili ya watu iliyokufa; au mimea au miili ya wanyama waliokufa unaharibu mchakato wa kuoza ambao unatengeneza rutuba kwenye ardhi.
 
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Tulidanganywa kuwa kuna maisha baada ya kifo ili kututushia tukubaliane na dini zao. Na wanyama na vyote vyenye uhai vina maisha baada ya kifo? Anyone who thinks that there's life after death is a crime.
 
Mwamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako, naye atakufufua siku ya mwisho, tenda mema uwezavyo na kuzishika amri za Mungu.
Umeandika kama mmisionari mzungu anayewashawishi babu zetu wawe wakristu ilhali wazungu wenzake wanawanyonga kwa kugoma kulima mazao ya biashara.
 
Ni kweli mimea na wanyama kwa kufa na kuoza hufanya udogo kuwa na rutuba. Lakini si kweli kuwa miili ya watu iliyokufa ni lazima kwa kurutubisha udongo.

Sababu ardhi haitegemei binadamu.

Aidha, unapochoma miili ya watu iliyokufa; au mimea au miili ya wanyama waliokufa unaharibu mchakato wa kuoza ambao unatengeneza rutuba kwenye ardhi.
Ni kweli mimea na wanyama kwa kufa na kuoza hufanya udogo kuwa na rutuba. Lakini si kweli kuwa miili ya watu iliyokufa ni lazima kwa kurutubisha udongo.

Sababu ardhi haitegemei binadamu.

Aidha, unapochoma miili ya watu iliyokufa; au mimea au miili ya wanyama waliokufa unaharibu mchakato wa kuoza ambao unatengeneza rutuba kwenye ardhi.
Hata ukichoma moto rutuba inatengenezeka ila ubaya wa kuchoma moto, unaharibu makazi ya viumbe ambavyo vinasaidia mchakato wa kuoza .
 
Tulidanganywa kuwa kuna maisha baada ya kifo ili kututushia tukubaliane na dini zao. Na wanyama na vyote vyenye uhai vina maisha baada ya kifo? Anyone who thinks that there's life after death is a crime.
Does plants and animals think?
 
They do not.
But Where he said that plants and animals have thinks?
 
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
You've been used, also been misused, equally been abused, now you're confused.

Ni kwa hasara yako mwemyewe kuwa na imani hiyo, ambayo hata wazazi wako wakukana mbele za hukumu ya haki ya Kristo.

Chombo chochote kile cha kieletroniki ambacho kimeumba na mwanadamu uhai wake hutegemea nishati ya umeme ili kifanye kazi. Ijapokuwa umeme hauonekani "operating system" yake huutegemea huo.

Haiwezekani roboti, luninga, kompyuta, radio, na vitu kama hivyo vikapata kiburi cha uzima wake na kutokumtambua binaramu kama ndiyo muumba wake.

Naam! Umejaa kiburi cha uzima, lakini tambua kuwa siku moja utasimama mbele ya hukumu za kweli na haki za Muumba wako.
 
Umeandika kama mmisionari mzungu anayewashawishi babu zetu wawe wakristu ilhali wazungu wenzake wanawanyonga kwa kugoma kulima mazao ya biashara.
Usichokijua ni kwamba ukristo ulienea kwa baadhi ya nchi za kiafrika hata kabla ya nchi za ulaya, na umisionari ulikua haujafikiriwa kuanzishwa.
Ujachelewa mwamini Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako.
 
Viumbe hai Vinakufa ,
Viumbe hai Vikifa vinaoza,
Vikioza ni rutuba Kwa ardhi .
Je, kiumbe hai ni binadamu tu huko India?
Nimewahi kuona mara kadhaa miaka hiyo kijijini ilikuwa mzoga wa mbwa tukienda kuutupa mbali na makaazi sehemu ambayo tumemtupa ardhi nyasi zake huwa njano na kuharibika,
 
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
we umejuaje mkuu au ni imani yako tu kama ilivyo kwa wengine wanavyoamini kwamba kuna maisha baada ya kifo. Hii ni siri hakuna ajuaye baada ya kifo kuna nin
 
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Wachawi wanasemaje kwani? and unajua nguvu ya Ubani ukichomwa? kaulize waganga na Waroman na Waislam wakipiga chechezo
 
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Kasheshe
 
KWANI WAPI WANASEMA KUNA MAISHA BAADA YA KIFO?
 
Back
Top Bottom