Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 884
- 1,625
Swali la kijuliza ni hii "intelligence/mind " inayoongoza shughuli za mwili ,matendo, mawazo yetu nk ilikuwa wapi kabla ya kuzaliwa na itaenda wapi baada ya kufa
kuhusu mwili kwa asilimia kubwa tunauhakika ulizaliwa na utazikwa na kuwa mbolea, vipi kuhusu the intelligence system behind human life.
kuhusu mwili kwa asilimia kubwa tunauhakika ulizaliwa na utazikwa na kuwa mbolea, vipi kuhusu the intelligence system behind human life.