There is no life after death, ni uongo

There is no life after death, ni uongo

Imefikia akilini kwangu ni kwamba...
Ukinitishia maisha yangu......Nakuua
Ukinitishia maisha ya ndugu zangu....Nakuua
Ukitishia maisha ya familia yangu......Nakuua
Ukinidhulumu hela ndefu ......Nakuua
Maisha hapa hapa.......
Tumeshazunguka dunia nzima na tunaijua nje ndani
Survival of the Fittest.............
 
2 Legends On The Same Track,
You Think You Can Spit On The Mike Like Biggie And Flow Just As Steady As I,
Sh!t Is Real U Know U Love Him, U Ain't Got "Ready To Die",
"Life After Death", Give To You,However U Want It Niqqa,
So I Carry Big Heat, Twista And Biggie On The Swizz Beat,

3 Mils I Love To Make 1, All These Cars I Love To Ride 1,
All These H0es I Love To Cut 1,A Tribute To Big I Love To Bust 1.

1730161187338.png

1730161302687.png
 
Hata sayansi inaundwa na concept, hivo kwa logic hiyo unathibitisha uwepo wa mungu.
Kwanza, Science is not about random concepts ambazo hazipo empirical kama concept ya uungu.

Ni facts tu.

Anyways, tuseme Science ni concepts tu. Sasa hiyo inathibitishaje uwepo wa Mungu?
 
Mambo ya Mungu na uwepo wake, uumbaji wake, na nini kilikuwepo kabla mtu hajazaliwa na nini kitafata baada ya mtu huyo kufa...nadhani haipaswi kuumiza kichwa , if you believe there is God, and unaamini pia wewe ni roho pia una mwili wa nyama..basi ishia hapo.
Mengine utaja kufuru wakati hukujiumba
 
Hakuna kilichomkuta mwenzake.

Vyote kwa pamoja (Binadamu na ardhi) vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.
It is a scientific fact kuwa kila kitu kina mwanzo. Sasa unaposema vilikuwepo tangu milele hio sio kweli
 
Mara paaap tunafika mbinguni tunaambiwa hakujawahi kuumbwa kitu kinaitwa "ndoa takatifu"

Yaniiii hiiiiii Atoto 😹
 
Kujibana bana kote🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Utakuwa msiba mzito!
Malaika wanatushangaa naniii aliewaambia hicho kitu mnakiita ndoa takatifu mbona sisi hatukijui 🤣🤣🤣
 
It is a scientific fact kuwa kila kitu kina mwanzo. Sasa unaposema vilikuwepo tangu milele hio sio kweli
Kama kila kitu kina mwanzo eleza na thibitisha mwanzo wa kila kitu ni nini?
 
Hata ulipokua tumboni mwa mamako ulikana kuwepo kwa maisha ya duniani. Maana uliona tumbo ndio kila kitu. Lakini ulitoka tumboni na ukaja duniani unatuletea stori zilezile hatukushangai. Tuache sisi tunaoamini uwepo wa maisha ya baada ya kufa tubaki na imani yetu ya hakika; na maisha hayo ni tofauti na maisha ya duniani, na ya tumboni.
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
 
Take note 📌📌
images (13).jpeg
 
Kwanza, Science is not about random concepts ambazo hazipo empirical kama concept ya uungu.

Ni facts tu.

Anyways, tuseme Science ni concepts tu. Sasa hiyo inathibitishaje uwepo wa Mungu?
Concept ni abstract ideas(mawazo ya kufikirika, hivo mungu na science vyote ni zao la abstract idea.
 
Kuamini kama kuna maisha baada ya kufa ni kuwa na IMANI kutokana na dini yako uliyonayo maana haya yameandikwa kwenye vitabu ya Imani kwa upande wa biblia kuna simulizi zinaeleza kwamba kuna maisha baada ya kifo.
 
Dini ni njia, uislamu ni njia ukristo Pia ni njia.
Sasa Basi Dini zote zinakubali kuwa kuna Maisha baada ya kifo.

Ila ukitoa maandishi ambayo yameandikwa Karne Zaidi ya 23 zilizopita(Bible,Quran)
Hakuna ushahidi wa moja Kwa moja unaoonyesha Maisha baada ya kifo, bad thing is hakuna aliekufa akarudi.

Imani ni bora kuliko Dini.
Wewe amini unavyo amini.
Ila hakuna scientific evidence kuwa kuna Maisha baada ya kifo

Maisha baada ya kifo ni sawa na Maisha kabla ya kuzaliwa unajua ulikuwa wapi??
Then Ivo ndugu
Aliyekufa na akarudi yupo
Yesu Kristo.
 
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Ni mtizamo tu
 
Back
Top Bottom