There is no life after death, ni uongo

There is no life after death, ni uongo

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
23
Reaction score
131
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
 
Huu ni uzoefu binafsi au ni utafiti?
Kifo ni nini na maisha ni nini?
 
Kwa mantiki yako.

Kuna aja gani na faida gani ya kukumbukwa kwa hayo mema ikiwa hakuna maisha baada ya kifo, How hayo mema yanakuwa na faida kwako sasa???
Hakuna faida yeyote ya kukumbukwa kwa mema au mabaya.

Ukisha kufa biashara imeisha unaoza na kuwa udongo ardhini.

Faida yako ni kwenda kuongeza rutuba ya udongo ardhini.
 
Dini ni njia, uislamu ni njia ukristo Pia ni njia.
Sasa Basi Dini zote zinakubali kuwa kuna Maisha baada ya kifo.

Ila ukitoa maandishi ambayo yameandikwa Karne Zaidi ya 23 zilizopita(Bible,Quran)
Hakuna ushahidi wa moja Kwa moja unaoonyesha Maisha baada ya kifo, bad thing is hakuna aliekufa akarudi.

Imani ni bora kuliko Dini.
Wewe amini unavyo amini.
Ila hakuna scientific evidence kuwa kuna Maisha baada ya kifo

Maisha baada ya kifo ni sawa na Maisha kabla ya kuzaliwa unajua ulikuwa wapi??
Then Ivo ndugu
 
That's Factual ingawa watu tofauti wanaamini vitu tofauti..., But as far as the facts speak Death is the end...., Ingawa kuna school of thought inayosema....

Someone once asked me if I had learned anything from it all. So let me tell you what I learned. I learned everyone dies alone. But if you meant something to someone... If you helped someone... Or loved someone... If even a single person remembers you... Then maybe you never really die. And maybe... this isn't the end at all”

View: https://youtu.be/tQceEJipFAQ?si=3cwwUlMXAfUBQAKG
 
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
@PastaJoshua kuna muujiza huku!🙏😎
 
The same kwa binadamu.
Anaweza kuishi hata bila msaada wa Mungu, binadamu amekuwepo kabla ya Mungu.
Mungu akimsaidia atakufa hata asipo msaidia atakufa vile vile
Kama kuna jambo ambalo hatuwezi kulitenganisha na Mungu; jambo hilo ni ulimwengu.
 
?Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Do you know anything about rebirth? And reincarnation?
 
Dini ni njia, uislamu ni njia ukristo Pia ni njia.
Sasa Basi Dini zote zinakubali kuwa kuna Maisha baada ya kifo.

Ila ukitoa maandishi ambayo yameandikwa Karne Zaidi ya 23 zilizopita(Bible,Quran)
Hakuna ushahidi wa moja Kwa moja unaoonyesha Maisha baada ya kifo, bad thing is hakuna aliekufa akarudi.

Imani ni bora kuliko Dini.
Wewe amini unavyo amini.
Ila hakuna scientific evidence kuwa kuna Maisha baada ya kifo

Maisha baada ya kifo ni sawa na Maisha kabla ya kuzaliwa unajua ulikuwa wapi??
Then Ivo ndugu
Umezisahau dini za Uhindu na Budha
 
Back
Top Bottom