Theory ya UKINAIFU

Na ndo maana kikawekwa kinaitwa ubunifu,unaruhusuje mkeo/mumeo akukinai? Akikukinai kosa sio lake ni lako,EPUKA UVIVU WA KUFIKIRI!
 
Kuna njia mbili za kuepuka ukinaifu

1.Unyuma, ni kufanya kitu kinyume chake, yani kama ulikuwa unapita Moro road kwenda posta, tumia shekilango, old bagamoyo road, kama mlikuwa mnagegedana chumbani basi mnaweza kuamua kugegedana jikoni sebuleni.
Kama ulikuwa unaanza na deep kiss unamalizia kwa kunyonya vidole vya miguu basi anza vidole vya miguu ndo uje deep kiss.
NB; sio kinyume na maumbile.

2. Kuacha kwa muda kufanya hicho kitu, hii itasaidia kuondoa ukinaifu. Mke au mume mnaweza kuacha kugegedana kwa muda kucreate hamu.
 
Back
Top Bottom