Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Hii theory inasema ''mtu au kitu chochote kile ulichokipenda mwishowe kina kukinai hivyo unakuwa unahitaji kitu au mtu mpya''
Kwa mfano: Ulikuwa unaipenda sana blackberry lakini leo hii imekukinai, unaona zimetoka simu mpya. Ulikuwa unaipenda sana gari aina ya OPA lakini badae imeku-kinai unataka Verosa. Ulikuwa unapenda sana uje kufanya kazi bank asahv pame-kukinai unataka kazi sehemu nyingine.
Wataalam wa theory hii wanaenda mbali zaidi kwa kusema uhusiano wa watu mara nyingi unavurugika kwakuwa kuna kuwa na hali ya ukinaifu, ulikuwa unampenda sana mkeo au mmeo lakini badae una-mkinai.
Wanaopinga theory hii wanasema kuwa; theory hii inatumiwa na walevi pamoja na wazinzi kuhalalisha uhuni wao kwani kitu ulichokipenda huwezi kuku kinai, watu hawa wanadai ''mbona mama zetu wazazi tunawapenda lakini hatuwakinai?''
UPI msimamo wako mwanajf?