BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 956
Imebidi niulize maana wengine kuanzia miaka hiyo wanakula mzigo kama kile kitoto kiigizajiKuna mahali nilisoma kuwa sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kuolewa miaka 14 na chini ya hapo.
Imebidi niulize maana wengine kuanzia miaka hiyo wanakula mzigo kama kile kitoto kiigizajiKuna mahali nilisoma kuwa sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kuolewa miaka 14 na chini ya hapo.
Mkuu hapo hakuna kutumiana coz, mmoja analazimika kutoa penzi sababu tu apate kaziThey can't complain coz they use each other. Grades vs you-know-what!
Imebidi niulize maana wengine kuanzia miaka hiyo wanakula mzigo kama kile kitoto kiigizaji
nakumbuka nilienda lidaz jumapili moja wakati naondoka tukakakuta nyuma ya gari yetuKale kalianza na miaka tisa hata kifuani hakuna tu kokwa.
Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa wana ndoa
Mwanamke na mwanaume wawe wametimiza miaka 18 ili kufunga ndoa. Hata hivyo mwanamke anaweza kuolewa akiwa na umri wa chini ya miaka
18 lakini sio chini ya miaka 15 kama atapata idhini ambayo hutolewa na baba na kama hayupo ni mama au kama wote wamefariki idhini itatolewa na mlezi wa binti huyo. Kama wote wamefariki basi hatahitaji idhini. Kuna wakati katika mazingira fulani mahakama inaweza kutoa idhini kwa binti kuolewa akiwa na miaka 14 lakini si chini ya hapa ikiwa ataonekana kwa mfano ana mimba. Pia mwanaume anaweza kuruhusiwa na mahakama kuoa akiwa na umri wa miaka chini ya 18 lakini lakini si chini ya 16 kama ataonyesha kuelewa jukumu lake kama mtu mzima. Lakini hii ni pale ambapo kuna tatizo kama la kumpa msichana mimba ndipo mahakama inaweza ikatoa idhini. Katika ombi la kuoa la SHABIRI A. M. VIRJI (1971) HCD NO. 407 la Mahakama Kuu ya Tanzania, mwombaji alikuwa na miaka 16 lakini alimpa mimba binti wa miaka 18. Mahakama katika kuchunguza ombi la mvulana la kuoa ilitoa kibali kwa sababu wote wawili walipendana sana na wazazi wao hawakuwa na kipingamizi cha wao kuoana.
nakumbuka nilienda lidaz jumapili moja wakati naondoka tukakakuta nyuma ya gari yetu
kanakiss na mtu mkubwa ajabu
Thanks mkuu. Hapo miaka 14 ni exception tena katika mazingira ambayo sheria imetaja wazi tena kwa ruhusa ya mahakama.
Mama unalenga wapi?
shule za msingi mfano
hasa za vijijini,walimu wanatembea na wanafunzi kama culture hivi
waziwazi kabisa
sasa la kushangaza mpaka university wadada wanadhalilishwa na wako kimyaa
They can't complain coz they use each other. Grades vs you-know-what!
<br />Kiasi kikubwa kweli...sikuwahi kufikiria!!
<br />
<br />
Report inahusu physical sexual abuse. Percentage ingekuwa kubwa zaidi wangejumuisha na verbal abuse ambayo pia ni form of sexual abuse. Cha ajabu tunapozungumzia verbal abuse mwanamke ni both victim na perpetrator.
<br />Kuna mahali nilisoma kuwa sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kuolewa miaka 14 na chini ya hapo.