Tulizana na Mangi a.k.a mchaga wako wewe mwanamke ,kama ndiyo worst thing to him maana yake hawezi kurudia tena na utashangaa atakapokushindisha na chips yai tu.
Nimeuliza tu wajameni!!!!!!!!!!!! I have lots of friends who could use LITTLE FINANCING IN THIS DIFFICULT ECONOMY!!!!!!! LOL!
iko wazi,sikuamin yaliyonikuta,mbaya zaidi ndoa yake ilidumu miezi 6 ikavunjika akataka aje tena kwangu nilikataaa sikupenda niwe last option
LOL eti girls wana higher expenses than guys?! hakuweza kuja na more convincing reason na wewe ukampa bila uchungu, come on. kakuchuna tuu huyo kama wafanyavyo mademu wa bongo movies. pole kaka ulikuwa unalipa K for $2,500/monthhiyo pesa nilikuwa napewa mimi na mama harafu natumia tena yeye alikuwa anatumia zaidi kwa kisingizio cha matumiz ya binti ni makubwa kuliko mvulana,kuoa isingewezekana kipind icho
LOL eti girls wana higher expenses than guys?! hakuweza kuja na more convincing reason na wewe ukampa bila uchungu, come on. kakuchuna tuu huyo kama wafanyavyo mademu wa bongo movies. pole kaka ulikuwa unalipa K for $2,500/month
nije hizo dola bado zipoooooooooooooooooooooooooo
kumpa atm card yangu bf wakati tukiwa chuo ili angalau asitaabike kumbe anatumia pesa zangu na mwingine lol....
...........khaaaaaaaaa ulikuwa na moyo......
Ulivokuwa chuo $2500 so now we are talking of about $5000 month!!!!!!!!!! OKAY!!!!!!! Sasa nafasi iko wazi au imekabwa?
Too bad!!kumpa atm card yangu bf wakati tukiwa chuo ili angalau asitaabike kumbe anatumia pesa zangu na mwingine lol....
Hebu weka ya kwako ya ukweli kisugarwengine mnatunga humu
iko wazi,sikuamin yaliyonikuta,mbaya zaidi ndoa yake ilidumu miezi 6 ikavunjika akataka aje tena kwangu nilikataaa sikupenda niwe last option
Hebu tuweke kando fix.
Zamani maisha yalikuwa mepesi sana kuliko siku hzi nashindwa amini mtu kutumia $2500 kwa mwezi tena chuo hadi leo sijaona nchi ya matumizi kiasi hicho kwa mwanafunzi.
Anyway kawaida ya watz kujipeleka mbele