The Worst Thing You've Ever Done For Love?

Tulizana na Mangi a.k.a mchaga wako wewe mwanamke ,kama ndiyo worst thing to him maana yake hawezi kurudia tena na utashangaa atakapokushindisha na chips yai tu.

Nimeuliza tu wajameni!!!!!!!!!!!! I have lots of friends who could use LITTLE FINANCING IN THIS DIFFICULT ECONOMY!!!!!!! LOL!
 
Nimeuliza tu wajameni!!!!!!!!!!!! I have lots of friends who could use LITTLE FINANCING IN THIS DIFFICULT ECONOMY!!!!!!! LOL!

Good ,nilitaka kukudedicatea TUPENDANE by Kilimanjaro band. . .
Haya, ameshajibu ipo wazi ,wasogeze dili hilo Mashostito aseeeh!
 
hiyo pesa nilikuwa napewa mimi na mama harafu natumia tena yeye alikuwa anatumia zaidi kwa kisingizio cha matumiz ya binti ni makubwa kuliko mvulana,kuoa isingewezekana kipind icho
LOL eti girls wana higher expenses than guys?! hakuweza kuja na more convincing reason na wewe ukampa bila uchungu, come on. kakuchuna tuu huyo kama wafanyavyo mademu wa bongo movies. pole kaka ulikuwa unalipa K for $2,500/month
 
LOL eti girls wana higher expenses than guys?! hakuweza kuja na more convincing reason na wewe ukampa bila uchungu, come on. kakuchuna tuu huyo kama wafanyavyo mademu wa bongo movies. pole kaka ulikuwa unalipa K for $2,500/month

mkuu mimi uwa si mchoyo kwa pesa ata rafiki zangu wanajua ilo,nimesema nilikuwa natumia naye na nilikuwa kama mzaz,nilikuwa naona kawaida kipind icho sababu ya kupenda sana,na kweli kwake ilikuwa gharama alipenda saluni mara kwa mara,shopping alipenda sana na mimi napenda sana shopping,tulitumia wote hiyo yote sababu ya love,ayo ndio matatizo ya kupenda sana kumchukulia mchumba kama mke.
 
Ulivokuwa chuo $2500 so now we are talking of about $5000 month!!!!!!!!!! OKAY!!!!!!! Sasa nafasi iko wazi au imekabwa?

Unataka kuchukua chance hiyo nn? Kumbuka anatoa kwa dolari huyo
 
Hebu tuweke kando fix.
Zamani maisha yalikuwa mepesi sana kuliko siku hzi nashindwa amini mtu kutumia $2500 kwa mwezi tena chuo hadi leo sijaona nchi ya matumizi kiasi hicho kwa mwanafunzi.
Anyway kawaida ya watz kujipeleka mbele
 
The worst thing?? I fought with all my family and eloped with her

I have never forgave myself for that when the love bubble bursted......ni miaka imepita ila mpaka leo sijarecover...cheerz to the B*tch who screwed my life. DOUBLE SHOTS TO EVERYONE
 
Usijali kaka yangu utampata wakwako tu hata $1 hutotumia
mie mwenzako niliiuguza mtu hawezi kula,kunywa namvalisha pampers,namnawisha mavi,naangalia mipira ya mikojo isimwagike yeye analala mimi nakesha kumlinda
alivyotoka hospital akaja kutembelewa na rafiki yake wa kike ambae alikuja na rafiki yake aakachukua contacts na kuanza mawasiliano
kesho yake akaanza visa na kuniacha kweupe kwa matus,kejel na dharau
hospital nilichange dollar 100 kwa ajili ya kumpa mtu anitengenezee passport nikatumia kwa matumizi yake
matokeo yake ile dili ya kwenda out of country nikaikosa
hayo ndo mapenzi
 
Hahaha, usingekuwa last option, call it emergency option. Angekaa na wewe tena, akipata wa maana anasepa na akitendwa anarudi. Hiyo nadhani ndo tungeiita worst moment. Pole weeh.
iko wazi,sikuamin yaliyonikuta,mbaya zaidi ndoa yake ilidumu miezi 6 ikavunjika akataka aje tena kwangu nilikataaa sikupenda niwe last option
 
Mind you alikuwa anatumiwa na familia. Wakati bursary money kwa sasa ni $800 kwa mwezi. Kama anatoka such a rich familia sasa mbona haiumi. Si kama kumnunulia gf chipsi vumbi tu?
Hebu tuweke kando fix.
Zamani maisha yalikuwa mepesi sana kuliko siku hzi nashindwa amini mtu kutumia $2500 kwa mwezi tena chuo hadi leo sijaona nchi ya matumizi kiasi hicho kwa mwanafunzi.
Anyway kawaida ya watz kujipeleka mbele
 
Galfrend wangu ali-cheat na Frend wangu nikajua then kwa hasira nikapitia wadogo zake wawili,mamake mdogo na rafiki yake.Alijua na mpaka leo ameshaolewa ila huwa anasema alipata bahati ya kumwona shetani in me.Natamani kufuta hii scene kwenye maisha yangu but siwezi.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom