The World’s Most Beautiful Bridges

The World’s Most Beautiful Bridges

Aiseee nimebaki kinywa wazi, Mungu ameumba ulimwengu, Mchina anaipamba dunia
 
Hongera sana mleta huu uzi ni challenge kubwa kwetu hapo Kigamboni!
 
HumberBridge.jpg
Humber Bridge (Kingston upon Hull, England)
Masha'allah!
 
Mkuu Excellent asante sana kwa uzii huu kwa kweli ni challenge kwetu hapo kigamboni
 
Last edited by a moderator:
Mtu ukitaka kuburudisha wenzio ulete kiti kama hiki, angalau tunasahau kidogo matatizo ya nyumbani na kufurahia kuangaza maisha.
 
..Hili siliamini kabisa
hii kweli kama haiaminiki vile,yaani hamna nguzo

Nguzo siyo tatizo unaweza kuwa na nguzo nyingi na daraja lisiwe imara. Kinachofanya daraja imara ni uwiano wa forces zinazobeba mzigo na mzigo wenyewe.

Jadukata.jpg

Hilo daraja lipo imara kabisa kwasababu linaumbo la upinde (arch shape) ambapo si rahisi kuvunjika. Umbo hili linakusanya downward forces na kuzisukuma pembeni (along the arch). Hivyo kuweza kubeba mzigo mzito sana hata kama materials zilizotumika kujenga daraja ni hafifu.

5089104827_400e613ee9.jpg

Squeezing-the-Egg.jpg

Nitakupa mfano wa yai, kama umeshajaribu kulivunja yai kwa kulibinya katika ncha zake mbili kwa kutumia viganya vyako viwili utakuta ni vigumu sana japokuwa yai ni tete sana. Hii ni kwasababu jumla ya forces unazotumia kubinya yai zinakuwa re-routed through out the dome shape of an egg.
 
This type of structure sends the weight to the end of the arch. Hapo hilo daraja liko supported by the two hills next to it, unlike zile zingine zinazo tegemea nguzo. So as Chamoto says, zinaweza kua imara zaidi (all other parameters equals):
Ossature.voute.arc.ogive.png
 
Last edited by a moderator:
Kumbe walimu wengi, sisi wengine tulikuwa tunatoka madirishani kwenye masomo ya physics.
 
Wakati mwingine unaweza kukufuru Mungu..kuna watu wana akili duniani! Kwa dizain hii kwa mchina daraja toka bagamoyo to zenji ni kazi simple..mfuko wako tu..
 
Back
Top Bottom