Jamani kuna watu wanaendeshwa na mapenzi mpaka noma....sasa hapo ndo kafaidi nini?
Love is blind and you can not blame/accused someone for been driven by love hadi yakukute!!
Liz, mganga hajinyoi, just keep your fingers closed!
Mwanzo ilikua ni familia yenye upendo yenye watoto wawili,Kati ya Jonson Nyathi na Annie Khumalo waliokuwa wakiish Soweto,Afrika ya kusini,mambo yalibadilika baada ya mke wa bwana Nyathi kukutana na mwanadada Deborah Mphulela na kuanzisha mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja yaliyosababisha Annie kudai talaka ili akaishi na Deborah,hakumficha mumewe bali alimwambia ukweli,mume alijaribu kumsihi mke wake na kumkumbushia kiapo walichoapa kanisan lakin mke hakujali,ndipo bwana Nyathi alipopeleleza na kujua alipokuwa anaishi Deborah kisha usiku wa kuamkia jumapili alikwenda kwa mwanadada huyo na kumpiga risasi na kumuua,kisha jumapili mchana akamwambia mke wake kuwa siku hiyo atampa talaka lakini angalau watoke out na watoto wao kabla hawajatengana,Annie hakukataa,mchana wa jumapili majira ya saa kumi jioni Familia yote ya bwana Nyathi ilikuwa ndani ya gari ndipo bwana Nyathi akayumbisha gari kulifuata lori walilokuwa wanapishana na kuligonga na kusababisha ajali iliyochukua maisha yao wote wanafamilia ya bwana Nyathi!Jamani kuweni makini na ndoa zenu!

Hapo kwenye nyekundu nna kaswali kamoja. Ni nani aliyebaki kuhadithia haya uliyo tueleza?
Mpaka nijitoe uhai!!?Hapana aiseee...hata ingekua ni wazazi wamenikana ntaendelea tu kudunda!
Mkuu hapo sio umiliki tu hata fedheha haziwezi kuzihimili, alishindwa kuvumilia jambo la aibu namna hiiCode:Mwanzo ilikua ni familia yenye upendo yenye watoto wawili,Kati ya Jonson Nyathi na Annie Khumalo waliokuwa wakiish Soweto,Afrika ya kusini,mambo yalibadilika baada ya mke wa bwana Nyathi kukutana na mwanadada Deborah Mphulela na kuanzisha mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja yaliyosababisha Annie kudai talaka ili akaishi na Deborah,hakumficha mumewe bali alimwambia ukweli,mume alijaribu kumsihi mke wake na kumkumbushia kiapo walichoapa kanisan lakin mke hakujali,ndipo bwana Nyathi alipopeleleza na kujua alipokuwa anaishi Deborah kisha usiku wa kuamkia jumapili alikwenda kwa mwanadada huyo na kumpiga risasi na kumuua,kisha jumapili mchana akamwambia mke wake kuwa siku hiyo atampa talaka lakini angalau watoke out na watoto wao kabla hawajatengana,Annie hakukataa,mchana wa jumapili majira ya saa kumi jioni Familia yote ya bwana Nyathi ilikuwa ndani ya gari ndipo bwana Nyathi akayumbisha gari kulifuata lori walilokuwa wanapishana na kuligonga na kusababisha ajali iliyochukua maisha yao wote wanafamilia ya bwana Nyathi!Jamani kuweni makini na ndoa zenu!
huyu jamaa alikuwa mgonjwa wa umiliki alipoona umiliki umekauka hamu ya kuishi nayo ikaisha............
Ndiyo maana tunaitika, "hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea!Hapo kwenye nyekundu nna kaswali kamoja. Ni nani aliyebaki kuhadithia haya uliyo tueleza?