The world is sinking!!

Lizzy, unafanisha wazazi wako na your spause.........?

Hayo ndo mapenzi NNAYOSTAHILI KIASILI kiasi kwamba wasiponipenda itaniuma sana maana siwezi kua na wazazi wengine...labda wakufikia na sio wa asili.Ila mapenzi haya...nalia leo kesho nacheka..ananizingua leo mwakani naolewa...ananitukana asubuhi kwamba mi si kitu lunch nasifiwa mpaka nashangaa.Wapenzi(mume/mke) are replaceable sasa kwanini nijiue wakati i can always get another?!
 
ooop !!! Karibu nipotee. Mawazo yangu yalikuwa kwenye science. Nafikiri namna dunia inavyoweza kuzama ??? Ndiyo mwisho wa dunia au nini ??? Mungu wangu. Kumbe maafa ya familia >
 
Love is blind and you can not blame/accused someone for been driven by love hadi yakukute!!

Liz, mganga hajinyoi, just keep your fingers closed!

Turekebishe kwanza mithali jamani: Tunaofahamu mithali tunaielewa kwamba ni" mganga hajigangi" na "Kinyozi hajinyoi"".

Haya tunaweza kuendelea sasa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hayo ndo mapenzi NNAYOSTAHILI KIASILI kiasi kwamba wasiponipenda itaniuma sana maana siwezi kua na wazazi wengine...labda wakufikia na sio wa asili.Ila mapenzi haya...nalia leo kesho nacheka..ananizingua leo mwakani naolewa...ananitukana asubuhi kwamba mi si kitu lunch nasifiwa mpaka nashangaa.Wapenzi(mume/mke) are replaceable sasa kwanini nijiue wakati i can always get another?!

Ukifanya hivi Lizzy yatakuwa siyo mapenzi tena bali Um@#&ya au Uka@#ba. Ukweli ni kwamba ukishaanza kuhama kwa mwanaume huyu kwenda kwa yule ujue thamani na heshima yako imekwisha shuka. Tatizo lenu wanawake wa sasa hamna uvumilivu kama bibi zetu.
 
Nani aliyesema anahama hama?!Ujumbe hapo ulikua kwamba mapenzi ya wenza sio yakulazimisha wala ya kujitia kitanzi shingoni.Kama hayapo hayapo...ya mzazi wangu ndo siwezi yaacha wala yapata kwingine.Kwahiyo we unaona huyo mzee ni mjanja kweli kwa kuamua kuua na kujia badala ya kuachana na huyo mwanamke na kutafuta wakumfaa?!Kama haya ndo mawazo yako naomba upate ushauri wa daktari asap!
 
Yah!Thats true,kama mtu anakuzingua chapa lapa dunia ina watu bilion 7!
 
pamoja na element ya fiction kwenye hii story, lakini nadhani kiichomkwaza huyu bwana ni kitendo cha kuachwa. tena bac mke mwenyewe kuhamia kwenye ushoga. jamaa haikuweza kuingia akilini mwake kuja kuonekana kuwa 'he was not a man enough' kwamba alishindwa kumtosheleza mkewe ndo maana kaishia kuwa msagwaji. attitude hii inaweza isiwe kweli na kama baba angepaswa kubaki amesimama na wanae na kumwachia mama aende zake kwenye mambo yake. solution ya kumuua msagaji na kuua familia yake yote ni solution ya kukimbia matatizo in a short cut way. kuachwa ni kitu cha kawaida na as i say below falling down doesnt mean being buried. nyanyuka, jikungute vumbi (kama lipo) then endelea mbele!
 
Hii hadithi kama haijatengenezewa Muvi wahi fasta kwa akina Kanumba..

Believe me, Itauza!!
 
pamoja na element ya fiction kwenye hii story, lakini nadhani kiichomkwaza huyu bwana ni kitendo cha kuachwa. tena bac mke mwenyewe kuhamia kwenye ushoga. jamaa haikuweza kuingia akilini mwake kuja kuonekana kuwa 'he was not a man enough' kwamba alishindwa kumtosheleza mkewe ndo maana kaishia kuwa msagwaji. attitude hii inaweza isiwe kweli na kama baba angepaswa kubaki amesimama na wanae na kumwachia mama aende zake kwenye mambo yake. solution ya kumuua msagaji na kuua familia yake yote ni solution ya kukimbia matatizo in a short cut way. kuachwa ni kitu cha kawaida na as i say below falling down doesnt mean being buried. nyanyuka, jikungute vumbi (kama lipo) then endelea mbele!

Kweli kabisa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom