The World is a flat plane and not a globe

WATAFUTE VITABU SASA WASHINDANE NA HUYU KWANZA
Nani alianza kuizungusha hiyo dunia mpk ikapata speed kubwa hivyo?? Na je inaongezeka??
Bado sikubaliani kwamba eti dunia ni kubwa sana mpk hiyo speed yote hatuihisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
dffc6903fd01cdc444ca0dcb8ff9d8dc.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwenye Games za mapigano ukirusha kombora kwenda juu linagonga juu linarudi chini.
They show you kwenye uso wako kabisa lakini watu wabishi.
Hata nyumba zetu wazee zamani zilikuwa zajengwa kama dome.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja jamaa anayeelewa akiona maswali yako atakujibu. Mm najua tu kuwa kasema kuna kioo huko juu kinagombaniwa kuvunjwa.
Hicho kioo kilicho funika Dunia anasema kiko kama Dome lakini bado hajaleta ushahidi wa kutosha ni jinsi gani Watu wasio weza kupaa juu kwa roket, wanaweza safiri aridhini Kilometers ngapi wafike kwenye kizuizi cha hicho kioo! Maana hapatokuwa na woga wa kutoka nje ya Dunia Mtu atagota kwenye kizuizi imara cha Dome ya kioo!
 
Sasa huyu ndio alifanyiwa hujuma na Einstein na Wenzake, huyu alisema Dunia hitembei iko tuli, ila kina Einstein walivyokuja kumpinga aisee ni vituko tupu, yaani hoja hawana.

Sayansi ina vimbwanga vyake aisee.
KUNA HUYU MJINGA NDO KAHARIBU KILA KITU NDO ALIYESUKA MPANGO WA SOLAR SYSTEM ,ROTATION NA REVOLUTION

umeona hapo putting the sun center rather than earth

Ndo sarasi zilianza ila aliwaambia kuwa si watajua haizunguki akaambiwa we endelea na kazi ,ntakupa kitabu ,amezingua sana

NICOLAUS COPERNICUS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unatumia theory za mwanasayansi anayeamini dunia ni tufe kusapoti ujinga wako. Nawasiwasi kama unaelewa General relativity inahusu nini.

- Huamini vitu rahisi vilivyo practical, ila unaamini mambo ya kufikirika?

- Walimu wako walipata hasara kweli. Sekondary ulifundishwa practicals za kupata absolute gravity leo unasema gravity haipo.
i) Simple pendulum
ii) Falling body/ weight drop

Ain't nobody got time for this. Usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.

731be781fcd6f7e00b5836802f4b60a0.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA HUYU MJINGA NDO KAHARIBU KILA KITU NDO ALIYESUKA MPANGO WA SOLAR SYSTEM ,ROTATION NA REVOLUTION

umeona hapo putting the sun center rather than earth

Ndo sarasi zilianza ila aliwaambia kuwa si watajua haizunguki akaambiwa we endelea na kazi ,ntakupa kitabu ,amezingua sana

NICOLAUS COPERNICUS

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa, tunaambiwa ya kuwa Albert Eistein na wenzake walikuwa "Die hard Copernicans" ambao hawakuamini juhudi aliyo ifanya Albert Michelson katioa jaribio lake.

Soma hapa kwa ufupi :
Screenshot_20200128-230139.png
 
Ukubwa wa jua hilo ni jambo jingine ila ndio dunia inazunguka na hili linaweza kuthibitika kwa akili na fact za kawaida bila kifaa chochote kwasababu matojeo ya kuzunguka uko yanaonekana na kuelezeka kirahisi. swala la kutosikika kwa mzunguko wa dunia hilo sasa linategemeana na muumbaji mwenyewe kwasababu sidhani kama ni vitu vyote duniani tunaweza kuvisikia au kuhisi.Mfano mdogo hebu mchukue sisimizi alafu muweke mkononi kisha zungusha zungusha mkono uone kama atahisi huo mzunguko.Au kwa akili za kawaida unadhani tungekua tunahisi huo mzunguko wa dunia kwa spidi hiyo unadhani maisha yangekuaje kama sio kizunguzungu tupu.
Mkuu sasa unamsemea na sisimizi.?

Unajuaje kama anahisi au hahisi?

Jisemee wewe sisimizi hujui ya moyoni mwake,pengine na yeye anaona inazunguka.

Sisi tunasema wewe unaona ishara gani ya wazi kuwa dunia inazunguka kwa ufahamu na milango yako na macho..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora tuendelee kusoma mada za kugegedana tu kuliko hizi mada za hovyo kabisa. Tatizo la wasomi wa kibongo hawana mada za maana zaidi ya kutunishiana misuli tu nani yuko nondo kwenye eigenvalue na eigenfuction au socratic tradition. Tunategeme mada kama hizi tupate elimu ya kutosha lakini matusi kibao, msomi gani unamwita mwezako mpumbavu kisa anahoji. Hao mnao waamini bila ya kupinga maono ya classical hiyo quantum ingekuwepo leo. Na huko kutumia lugha ngumu ndio tuwaone wasomi sana? Sijawahi kuona wasomi wa hovyo kama ninyi. Ngoja tuendelee kusoma mistari ya kutongazana kuliko huku mnatuchosha, nimesoma uzi wote sioni chochote cha maana zaidi ya majina ya wanasayansi na hiki unakijua. Shuwaini nyie
We nawe ni mpumbavu tu. Unatakaa nani aje aanze kukuelezea kwamba Dunia ni duara? Kama huna hiyo common knowledge mpaka hapa ulipofikia you're trash.
 
OK NI VIZURI NGOJA NIKUPE HII KAMA MUUMINIView attachment 1338760

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay asante kwa verses lakini nimesoma baadhi sijaona hata moja yenye direct prove kuhusu flatness ya earth. Alafu ujue kila mtu uelewa maneno ya Bible mara nyingi anavyotaka yeye. Ndiyo maana mabishano yanayohusu maneno ya bible mara nyingi huwa hayana mwamuzi sahihi na hivyo mimi binafsi pamoja na kuwa christian huwa najitahidi kuyakwepa kila yanapotokea.
 
Nani alianza kuizungusha hiyo dunia mpk ikapata speed kubwa hivyo?? Na je inaongezeka??
Bado sikubaliani kwamba eti dunia ni kubwa sana mpk hiyo speed yote hatuihisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba usindelee kusupport Ujinga wa mtoa mada na Wewe usije dharaulika! Hebu fikiria Jamaa anasema Dunia ina uzio wa Dome ya kioo kiasi kwamba roket haziwezi kupaa wima. Na bado amejaribu kuelezea operation Dominic roket ilivyo shindwa kupenya hiyo Dome ya kioo nakuanguka chini ikiwaka moto!

Swali la kujiuliza ni kwanini wote wanaosema Dunia ni flat duara Kama Sinia iliyofunikwa na Dome ya kioo wasiwathibitishie Watu kwa kuwasafirisha hata kama ni kwa Meli Magari na Helcopita wakaoneshwe uzio wa Dome ya kioo tokea chini inapo anzia kwenda juu?! Na huo ungekuwa utalii mzuri sana kwenda kucheki ukingo wa Dunia ukiwa ndani ya fence ya kioo kwa usalama bila wasi wasi.Hata kama ni nauli Watu watalipa!
 
We nawe ni mpumbavu tu. Unatakaa nani aje aanze kukuelezea kwamba Dunia ni duara? Kama huna hiyo common knowledge mpaka hapa ulipofikia you're trash.
Offcoz mi mpumbavu nisiesoma ila wewe umenizid maana una digrii kabisa ya upumbavu uliyoipata chuoni
 
Offcoz mi mpumbavu nisiesoma ila wewe umenizid maana una digrii kabisa ya upumbavu uliyoipata chuoni
Sasa we ignorant fool hata kama hujaenda shule unashindwaje kujua kwamba Dunia ni duara mpaka uwasumbue watu hapa wakuelezee elementary knowledge?
Muwe mnaenda hospitali kuchunguzwa kama mna mtindio kwenye bongo zenu.
 
We nawe ni mpumbavu tu. Unatakaa nani aje aanze kukuelezea kwamba Dunia ni duara? Kama huna hiyo common knowledge mpaka hapa ulipofikia you're trash.
Mkuu tuvumiliane. Kuna watu wa uelewa tofauti tofauti hivyo ukiona mtu ana uelewa mdogo below your expectations usimtukane, mvumilie tu. Lakini pia tunatofautiana level ya uvumilivu naona wewe huko kama speaker mmoja wa bunge la south Africa ana hasira kama zako, kuna siku alimwambia mbunge, "honorable member you are worse than I expected". Nilicheka utadhani mazuri!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom