The World is a flat plane and not a globe

Naona unauliza swali sehemu uliyotakiwa kujibu swali, sasa nani anapaswa ajibu swali.

Naona sasa kama marejeo sio muhimu kwanini ulitaka nikupe marejeo ? Nakukumbusha tu Marejeo ni kwa Kiswahili kwa Kiingereza ni "Reference".

Dogo huelewi jambo unavamia vamia tu, hata umuhimu wa marejeo huujui halafu unataka marejeo mwisho wa siku kwa ujinga wako unajipinga. Kijana tuliza akili.

Marejeo hupimwa na hali halisi, ambayi ni UKWELI wenyewe. Sababu swali langu hujajibu na mimi nimekujibu maswali yako kuokoa muda sababu najua huna unalo lijua katika hili na mfano wako, navunja misingi yako ili ujibu maswali yangu.

Nacho kukumbusha tu ukiwa unajadiliana na mimi, hakikisha una kumbukumbu nzuri.

Tuendelee ....
Nataka niandike maandishi machache yenye kueleweka usinipe jukumi la kuandika maelezo mingi hivyo akili yakujiongeza isiwe likizo

navyosema marejeo hususani napo jadiliana na wewe namaanisha huo utopolo (kuran) kwasababu Hakuna vivid proof juu ya ukweli wa hicho kitabu

Ukinipa reference amabzo ni testable&observable mbona ntakubali na sita sema utopolo
 
How do you test a reference?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupewa nilikokusudiwa ni kuzaliwa nayo.

Huwenda wewe ndo jmetumia akili yako vibaya kwa kutoelewa maana ya kupewa nilikusudia kupewa kupi.

Kuna watoto wanazaliwa hawana akili kama za watu wengine yani wako tofauti(machizi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha abracadabra nimepewa na nini?

Mimba tu ndo mtu anapewa lakini sio akili
 
Youtube ni media stream ya video sharing worldwide ,ni sehemu ulimwengu wote unaweza kuaccess video ya mtu yeyote aliyeupload

Mf.kuna watu wanafanya daily expeditions pengine za hatari au za utafiti lakini wanataka dunia ijue ,so wana upload hapo pengine wakipata host kwenye channel ya tv sio wote wataona

Ni global video sharing site ila facebook kwasababu ni mwenyeji na umeona picha ulizokuwa unatoa huko unaleta hapa ushaelewa ni sehemu gani.

Na fb iliitwa facemap kabla kwahiyo jiongeze.

Halafu angalia hiyo video na utulize kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ambao unawekwa facebook, youtube haiwezekani kuwepo?
 
Acha abracadabra nimepewa na nini?

Mimba tu ndo mtu anapewa lakini sio akili
Basi kama unakataa sawa ila mimi ndo nilimaanisha hivyo.

Kama ambavyo umepewa mguu na wengine wanazaliwa hawana mguu basi kumbe unapewa huo mguu ns mwingine anakosa kupewa.
.na akili ndio hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka niandike maandishi machache yenye kueleweka usinipe jukumi la kuandika maelezo mingi hivyo akili yakujiongeza isiwe likizo

navyosema marejeo hususani napo jadiliana na wewe namaanisha huo utopolo (kuran) kwasababu Hakuna vivid proof juu ya ukweli wa hicho kitabu

Ukinipa reference amabzo ni testable&observable mbona ntakubali na sita sema utopolo

Safi kabisa, naona umekiri ya kuwa Qur'aan ni marejeo ila sio yale unayo yataka wewe.

Sasa hiki kinachoelezwa na Qur'aan kila mtu ana kiona na anakikiri, na hii ndio tofauti ya mitume na Wanasayansi, leo hii ukimpa kazi Mwanasayansi akwambie maji ni nini, kazi kweli kweli, yaani utapewa maelezo yasiyo na msingi na wasi wasi tele, mara maji ni muunganiko wa Oksijeni na Hyadrojeni, hii inaonyesha ya kuwa misingi ya elimu hii si madhubuti, ila ujumbe wa mitume huwa ni mwepesi kwa kila mtu.

Anasema Allah aliye juu :

5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! (az Zumar : 5 )

Swali 1 : Aya imetaja usiku na mchana,je viwili hivyo unaviona au huvioni ?
Swali 2 : Jua na mwezi vina kazi au havina kazi ?
Swali 3 : Kujua kupo au hakupo vipi, nafasi ya kutanabahi na kufikiri ipo au haipo ?

Sasa ulitakiwa uijue kwanza Qur'aan ni nini kisha uandike ujinga unao uandika. Ajabu ujinga huu huwa nauona kwako na kwa mfano wako, yaani jambo hamlijui lakini mnalipinga, mkiambiwa mlete ushahidi mnakimbia.

Pia, hiyo ndio marejeo yangu yaliyonijulisha ya kuwa Dunia ni duara.
 
Umejuaje nimeongelea uwongo?

Is watching a video testing a reference?what do you mean when you test a reference?what fixed measures do you apply when testing a reference?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema umeongelea uwongo?

Umenielewa nilichokiandika?

Halafu references zinaweza kupimwa kupitia hata mantiki tu

Wewe unakubali kua kuna mtu alipasua mwezi? Au kupaa na farasi angani kama superman?
 
Safi kabisa, naona umekiri ya kuwa Qur'aan ni marejeo ila sio yale unayo yataka wewe.

Sasa hiki kinachoelezwa na Qur'aan kila mtu ana kiona na anakikiri, na hii ndio tofauti ya mitume na Wanasayansi, leo hii ukimpa kazi Mwanasayansi akwambie maji ni nini, kazi kweli kweli, yaani utapewa maelezo yasiyo na msingi na wasi wasi tele, mara maji ni muunganiko wa Oksijeni na Hyadrojeni, hii inaonyesha ya kuwa misingi ya elimu hii si madhubuti, ila ujumbe wa mitume huwa ni mwepesi kwa kila mtu.

Anasema Allah aliye juu :

5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! (az Zumar : 5 )

Swali 1 : Aya imetaja usiku na mchana,je viwili hivyo unaviona au huvioni ?
Swali 2 : Jua na mwezi vina kazi au havina kazi ?
Swali 3 : Kujua kupo au hakupo vipi, nafasi ya kutanabahi na kufikiri ipo au haipo ?

Sasa ulitakiwa uijue kwanza Qur'aan ni nini kisha uandike ujinga unao uandika. Ajabu ujinga huu huwa nauona kwako na kwa mfano wako, yaani jambo hamlijui lakini mnalipinga, mkiambiwa mlete ushahidi mnakimbia.

Pia, hiyo ndio marejeo yangu yaliyonijulisha ya kuwa Dunia ni duara.
Wapi ulipothibitisha kuran ni kitabu cha kweli?

Au ndo hayo maneno ambayo umeyatoa humo humo kwenye kitabu hicho hicho nilichouambia uthibitishe ukweli wake?
 
THE HOLLOW EARTH INTERPRETATION OF ARCTIC OR NORTH POLE.
images%20(14).jpeg
images%20(15).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • images%20(16).jpeg
    images%20(16).jpeg
    31.6 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom