Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,754
- 145,527
Chupa iliyokaa juu ya meza ni sehemu ya meza?Kama chupa huwa inakaa juu ya meza kama sehemu yake kuna tofauti ipi katika mithili
Sent using Jamii Forums mobile app
Chupa iliyokaa juu ya meza ni sehemu ya meza?Kama chupa huwa inakaa juu ya meza kama sehemu yake kuna tofauti ipi katika mithili
Sent using Jamii Forums mobile app

unakana macho yako ukiona uhalisia ila unakubali macho yako ukiona kwenye kitabu ama runinga
Kwaiyo macho yako yanavyoona basi kile kinachoomekana ndo sahihi?
Hakuna illusion?
Kuna watu wako bongo hapa wamefanana na jayz, kwaiyo tusitumie DNA tuhitimishe kua jamaa ni mdogo wa jayz kwasababu macho yanaonesha kua wamefanana?
Na rockets ambazo zinapaa angani umbali wa juu ambao huku chini tunaziona ndogo kama mjusi basi kwa kuona huko kulitakiwa tuzione hivyo hivyo hata zikitua ardhini
Hapa naona kuna tatizo, mnaposema kitu fulani ni sehemuya kitu fulani uwa mna maanisha nini ?Sasa mbona unafananisha mlima, ambao ni sehemu ya dunia, na chupa ambayo si sehemu ya meza?
Kwaiyo macho yako yanavyoona basi kile kinachoomekana ndo sahihi?
Hakuna illusion?
Kuna watu wako bongo hapa wamefanana na jayz, kwaiyo tusitumie DNA tuhitimishe kua jamaa ni mdogo wa jayz kwasababu macho yanaonesha kua wamefanana?
Na rockets ambazo zinapaa angani umbali wa juu ambao huku chini tunaziona ndogo kama mjusi basi kwa kuona huko kulitakiwa tuzione hivyo hivyo hata zikitua ardhini
Kama ipo juu ya meza ni sehemu ya mezaChupa iliyokaa juu ya meza ni sehemu ya meza?
Unaposema sehemu ya meza unakusudia kwa asili ya maumbile yatokanayo baina ya vitu hivyo?Chupa iliyokaa juu ya meza ni sehemu ya meza?
Utopolo ni kitu cha kijingaSielewi utopolo ni nini ?
Nimekuuliza kwako wewe marejeo ni nini ? Mathalani unaposema Dunia duara au labda Hakuna Mola muumba, huwa una rejea wapi ?
Utopolo ni kitu cha kijinga
Kwanini marejeo yawe kitu cha msingi sana?
Hayo marejeo unayahakiki vipi kua ni kweli kabla ya kuyakubali?
Sasa mtu akikuambia kua ana marejeo yanayo support arguments zake katika kuran ambayo wewe unasema haijasema hayo madai binafsi utasemaje?Nilichosema kuwa ile kauli ya wazi kusema kuwa dunia duara ama tufe hyo kauli haipo katika Qurani,huwenda kukawa na viashiria ambavyo mtu anaweza kuvitumia kuthibitisha upande wake.
Kama ambavyo mimi naamini kwa mujibu wa viashiria vya Qurani dunia sio kama mpira ni kama sahani tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesema wapi kuwa hayo ni madai binafsi.?Sasa mtu akikuambia kua ana marejeo yanayo support arguments zake katika kuran ambayo wewe unasema haijasema hayo madai binafsi utasemaje?
Naona unauliza swali sehemu uliyotakiwa kujibu swali, sasa nani anapaswa ajibu swali.Utopolo ni kitu cha kijinga
Kwanini marejeo yawe kitu cha msingi sana?
Hayo marejeo unayahakiki vipi kua ni kweli kabla ya kuyakubali?
Mpaka hapa tayari ushatumia akili yako vibayaSasa hapo tumia akili yako sawa sawa.
Unadhani ulipewa akili burebure mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshindwa kuelewa nilichoandikaMimi nimesema wapi kuwa hayo ni madai binafsi.?
Kama umetolea mfano basi neno madai binafsi litoe tafuta neno nililosema mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakukumbusha kua kuna muda uliniambia kua "unatumia facebook"
Kwaiyo wewe utopolo wa youtube ndo chanzo sahihi kilichokufanya ukawa flat earther?
Mpaka hapa tayari ushatumia akili yako vibaya
Mimi sikupewa akili bana nimezaliwa nayo
Inawezekana kweli humu kuna wadau walipewa akili ila walipoanza kusema dunia ni flat wakaporwa
Kwa wenye uhakika na Umbo la Dunia mnaloliamini naomba majibu ya maswali haya. (Mnijibu kutokana na umbo la dunia mnaloliamini)
1. Kwanini tumefundishwa Umbo la Dunia?
2. Kwanini Tulifundishwa Jua limesimama ilhali Tunaliona likitembea?
3. Ni kwa nini Mito mirefu haibadirishi uelekeo wa maji yake? (Kwa waumini wa Dunia Mviringo)
4. Wanaosafiri kwenda anga za mbali, huwa wanaeleekea uelekeo upi, kati ya Kulifuata Jua, nyuma ya dunia kwauelekeo wa Jua lilipo au pembeni mwa dunia?
5. Juu au Chini ya Dunia ni Wapi?
6. Kuna mwenye ushahidi wa umbo la Dunia nje ya Vitabu au teknolojia za Mzungu?
Nitakuwa nimepata kitu hakuongezea uelewa wangu baada ya majibu haya, maana nimekua nikifuatilia Mada hizi ila mwisho wa siku wanaodai wana uelewa wa jinsi dunia ilivyo huwa hawapendi kuhojiwa ili wafunguke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningefanyaje kuhusu jambo gani ?Umeshindwa kuelewa nilichoandika
Hiyo binafsi nimemaanisha imekulenga wewe sio mimi
Wewe binafsi utafanyeje?
Kupewa nilikokusudiwa ni kuzaliwa nayo.Mpaka hapa tayari ushatumia akili yako vibaya
Mimi sikupewa akili bana nimezaliwa nayo
Inawezekana kweli humu kuna wadau walipewa akili ila walipoanza kusema dunia ni flat wakaporwa