The World is a flat plane and not a globe

Bila shaka una ufahamu mdogo sana juu ya elimu ya Qur'aan na Tafsiri yake.

Nithibitishie ya kuwa mtu alienda mwezini, kisha nikuthibitishie ya kuwa hakuna aliyeenda mwezini kwa mujibu wa Qur'aan na Hadithi.

Tuendelee .....
Sijasema Prophet alienda mwezini, nimesema mbinguni,na alivuka mbingu kadhaa.Hii tu nikaonyesha ni evidence mtu anaweza kwenda space.Au prophet hakwenda mbinguni,na katika baadhi ya mbingu akawakuta manabii wa kale?
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema Prophet alienda mwezini, nimesema mbinguni,na alivuka mbingu kadhaa.Hii tu nikaonyesha ni evidence mtu anaweza kwenda space.Au prophet hakwenda mbinguni,na katika baadhi ya mbingu akawakuta manabii wa kale?
Sasa ndio uthibitishe,maana najua ya kuwa safari hiyo ya mtume kwenda mbinguni haionyeshi ya kuwa watu wanaweza mwezini au kwa ujumla wake kwenye "space".


Sasa nithibitishie hilo.
 
That what it is a round flat earth

Sent using Jamii Forums mobile app



Ukiangalia utaona anajipinga yeye mwenyewe kwani anasema dunia ni duara na ardhi imetandikwa juu yake kama busati lililo tambarale, sasa swali ni hili; utatandikaje kitambaa juu ya mpira na kitambaa hicho kiwe tambarale kisifuate umbo la duara la huo mpira??. Inaonyesha neno tambarale ndilo linalomchanganya na mbaya zaidi alikimbia hesabu alipokuwa shule hivyo hawezi jua nini maana ya "tambarale" ya ardhi juu ya uso wa dunia.
 
 
Sasa ndio uthibitishe,maana najua ya kuwa safari hiyo ya mtume kwenda mbinguni haionyeshi ya kuwa watu wanaweza mwezini au kwa ujumla wake kwenye "space".


Sasa nithibitishie hilo.
Nabii Elia,Issa/Jesus,Prophet Mohammed(SAW) walikuwa watu pia.Ukisema walikuwa spiritual.Ndio uelewe modern tunaenda ki sayansi, na scientist hawana tabu ya kumpinga au kutompinga Mungu kwa umoja wao,hilo limebaki kuwa swala la individuals.Na watu kama nyinyi mnatengeneza conspirancy theories kulazimisha kuwa wana sayansi wanapingana na Mungu wakati wanasayansi kila mmoja binafsi ana dini yake na wengine pia hawana na hawalazimishani.Najua mtaanza kuleta vipicha na vi faili vya kuokoteza na kuanza kuongelea jumuia kadhaa kama Freemason😃😃.Hakuna mtu anawajua freemason humu JF,na kama yupo ambae ni member hawezi kuwa nauda wa kutuandikia mishe zao...
 
Nacheka sana. Sijibu utoto kijana, kazi yangu nimemaliza na hakuna nilipojichanganya zaidi ya upeo wako kuwa mdogo.

Pili, hesabu gani zilizotumika kuelezea umbo la dunia zikawa na uhalisia zaidi kuishia kwenye makaratasi.

Tatu, japo hili si la msingi, sijawahi kufeli hesabu kijana katika maisha yangu yote ya kusoma "Secular" sasa unaposema uongo ili kujifurahisha nakuona mjinga usie faa hata kupigiwa mfano.
 
Ambaye huwajui ni wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pili, hesabu gani zilizotumika kuelezea umbo la dunia zikawa na uhalisia zaidi kuishia kwenye makaratasi.



Unasema hukufeli hesabu za kisekyula, kwani hesabu za kisekyula zikoje na zile zisizokuwa za kisekyula ni zipi??


Wewe hujui hata Qur'an nayo unayoipotosha imo ndani ya makaratasi ??--- sasa kwa huo uerevu wako (sio ujinga wako) tusiifuate Kwakuwa imeandikwa kwenye makaratsai??
 
Sayansi imeandikwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo sio duara bali ni NUSU DUARA[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

"HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…