Misingi yangu ni :
1. Fitra (Umbile la ndani la mwanadamu, kama njia ya kuujua ukweli, hili analo kila mwanadamu mpaka wale wakana Mungu)
2. Akili
3. Hawasi (Milango ya fahamu katika kuyatazama maumbile)
4. Ufunuo, hapa ndipo tunapata majibu kwayo akili zetu zinapoishia, safari ya ukamilifu hutimilizwa na ufunuo.
Nimeona unatatizo la kung'amua mambo, sentensi yangu ilikuwa iko wazi sana, na unapo uliza swali hili ina maanisha hata nilichokiandika hukukielewa sasa najiuliza kwanini umehoji kwa mtindo huo ?
Niliposema mlengo kwa kurejea nilichokiandika ulitangiwa ujue ya kuwa maanisha mtazamo kulingana na nyanja fulani zinaelezea vipi jambo hilo. Mathalani mtazamo wa kwaida yaani ada na desturi hakuna bae hajui maji ni nini, hata kama akishindwa kuarifisha nini maana ya maji, na hii ni kutokana na kujulikana kwa maji kukafanya pasiwe na haja ya kushughulika a maana ya maji, ila kwa mlengo (mtazamo) wa wanakemia wanakwambia ni muunganiko wa Oksijeni na Hydrogen. Huu sasa ndio mlengo yaani mtazaml kulingana na watu fulani au meuelekeo.
Kwahiyo ushauri wangu kwako ni kuwa uongeze umakini ili kuepusha kupoteza muda kuuliza maswali ambayo majibi yake yapo tayari.
Sasa wewe uko mbali sana ,ukileta mfumo huo inamaanisha unawaengua wale wa upande wa pili,kuhusu issue za camera ilikuwa ni hoja ya kupinga uwepo wa mkunjo wa dunia mpira na kuthibitisha kuwa ni tambarare.Naona umesahau ulicho niuliza
Pili, hapa tunautafuta ukweli kama ulivyo na si ukweli kama unavyojitokeza kwa watu.
Huwezi na hii nakupa kanuni popote utakapo kwenda, huwezi kuelezea maumbile ya dunia nje ya dini ulapatia mzee, yaani hili hata mje kuleta Camera za P100000000000 hamtaweza kupatia zaidi ya kubahatisha.
Kwahiyo mintarafu tunachokiongelea bado nipo kwenye mada na kujibu kile kinachotakiwa.
Relation hii inaingiaje na umbo la dunia?maana naona tunaanza kujadili uumbaji wa dunia katika upande wa pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi, malizia ulichotaka kukiandika kulingana na misingi niliyo iweka hapa.Fikra,fahamu na akili hujenga kitu kiitwacho hypothetical thinking,yani kujiuliza na kufikiria jambo pasipo ushirika wa msaada wowote,nikimaanisha kudadisi na kujipatie majibu binafsi kama nafsi moja.
Hapo ndo uzaa maswali kwa wengine kuhusu fikra na mitazamo ,maana vinakuwa havishabiani kwa namna moja au nyingine,endapo hali kama hii hujitokeza inabidi viumbe wawili waweke shuhuda eleweka zenye mantiki kuweza kupata mtazamo mmoja sawia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chochote hakijalishi ujenzi wa jengo au elimu, msingi una maana moja kulingana na hakisimami kitu husika bila msingi.
Leo hii hakuna Sayansi bila nadharia, bila majaribio, bila hitimisho hii ndio miongoni mwa misingi ya Sayansi, ondoa vitatu hivi na vingine uone kama kutakuwa na Sayansi.
Vile vile, hakuna jengo linaweza kusimama bila misingi.
Na msingi wa elimu ni uwe na mwalimu.
Hiyo ndio maana ya msingi na umuhimu wake.
Kaka nilikwambia hapo kabla inaonekana una umakini mdogo sana katika kusoma hoja zangu, nilikwambia kifo ni ukomo kwa maisha ya hapa duniani, na sijama kifo ni ukomo wa maisha kwa ujumla, sababu najua kuna maisha ya kaburini na kuna ufufuo kisha kuna malipo.Kuhusu kifo,kifo sio ukomo wa maisha,kwasababu hizi
1.hakuna anayekufa tunaelewa ana experience nini,zaidi kujijibu kibinasdamu na kisayansi kuwa mfumo wake wa uhai haifanyi kazi hivyo ni mfu haishi,je ni kweli haishi?mwanadamu ana nafsi,roho na mwili.
Mwili haufanyi kazi ,je roho na nafsi?
Sababu nina ile misingi niliyo kutajia..kinachofanya ufikiri kuwa unacho ambacho kinakufanya ufikiri ni kipi?
Nimetumia misingi ile niliyokutajia.
Na ndio Msingi wa mada, labda kama uliandika mada hii ukiwa hujui unaandika nini.Sasa wewe uko mbali sana ,ukileta mfumo huo inamaanisha unawaengua wale wa upande wa pili,kuhusu issue za camera ilikuwa ni hoja ya kupinga uwepo wa mkunjo wa dunia mpira na kuthibitisha kuwa ni tambarare.
Mada sasa unayokuja kuraise ni uumbaji ni sio muonekano.
Sent using Jamii Forums mobile app
That what it is a round flat earthMaana hii mada imeenda sana na tumeleana sana, nataka kumaliza hili kwa mtindo huu.
Anasema Allah aloye juu :
5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! (Azzumar : 5 )
Hili andiko ukilisoma vizuri linaonyesha ya kuwa dunia duara, ukisoma matini ya tamko hilo utaona neno "yuqawirru" maana yake "wrap around" na kinacho bi "wrapped" ni Dunia.
Akasema tena Allah aliye juu :
19. Na ardhi tumeitandaza na humo tumeweka milima, na tumeotesha kila kitu kwa kiasi chake. (al Hijri : 19 )
Hapa aya inasema ardhi imefanywa kama tandiko, yaani baada ya kuumbwa dunia ikatandikwa ardhi juu yake. Hapa ndio tunauzungumzia huo utambarare wa Dunia duara.
Akasema tena Allah aliye juu :
19. Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati.
20. Ili mtembee humo katika njia zilizo pana. (Nuhu : 19 - 20)
Ardhi imefanywa kama busati, ili tutembee katika njia pana.
Akasema tena Allah mtukufu aliye takasika :
6. kaKwani hatukuifanya ardhi ma tandiko?
7. kama Na milima vigingi?
8. Na tukakuumbeni kwa jozi?
9. Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko? (an Nabaa : 6 - 9 )
Kwahiyo kwa jumla ya aya hizo tunaona ya kuwa Dunia kwa umbile lake ni duara ila ni tambarare kwa juu.
Huko kote sikutaka nifike kwanza ,nilitaka kwanza ieleweke kwanza kuwa hakuna kitu kama dunia mpira na tuje hapa tulipofika,but anyway ukweli ndo jinsi ulivyo na huu ndo ukweli halisi.Na ndio Msingi wa mada, labda kama uliandika mada hii ukiwa hujui unaandika nini.
Kwa hiyo elimu yote niliyosomea kua dunia ni duara ni ujinga mtupu?
Umeishiwa aisee, hizo picha ndo zinajenga hiyo dhana mnayoitetea nyie. Kama umeshindwa kuielewa dhana yenu mnayoitetea kwa shahidi hizo basi hakuna mnachokijua kuhusu round earth, am jus'wastn ma'time.Maswali yako yote ni ya uongo sababu hayaongelei kile ninachokizungumzia mimi.
Pili, picha ulizoziweka zinaonyesha kinyume na hali halisi, ninaposema Dunia ni kubwa kiasi ambacho ukomo wake hakuna anae udiriki na ukubwa huo ndio unatuonyesha ya kuwa dunia ni kama tandiko hivi yaani tambarare. Hizo picha hazina uwiano na dunia duara ninayo izungumzia mimi.
Kwahiyo karekebishe kwaza unachokiandika ili uulize swali kulingana na ninacho kiamini mimi kwa hoja zenye nguvu na upembanuzi wa ajabu.
Siku nyingine usilete picha bunifu ili kuupata ukweli.
Dunia ni duara ambalo ni tambarare sio duara ambalo ni mpira,ni ujinga ndiyo.View attachment 1342468
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhana yako ni ipi?Umeishiwa aisee, hizo picha ndo zinajenga hiyo dhana mnayoitetea nyie. Kama umeshindwa kuielewa dhana yenu mnayoitetea kwa shahidi hizo basi hakuna mnachokijua kuhusu round earth, am jus'wastn ma'time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hatujaelewana.Kuna vitu vina hali moja kwa kila hali, mathalani, ukiambiwa Jua liko juu yako au? Hapa unaweza kulijibu kwa kuzingatia mlengo gani ?
Kwahiyo hata hili la kuona halifungamani na mlengo fulani.
Zurri anachanganya sana mambo,huwenda anakitu kizuri cha kukisema ila sasa ufikishaji wake haueleweki.Umeishiwa aisee, hizo picha ndo zinajenga hiyo dhana mnayoitetea nyie. Kama umeshindwa kuielewa dhana yenu mnayoitetea kwa shahidi hizo basi hakuna mnachokijua kuhusu round earth, am jus'wastn ma'time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hamsomi vizuri ninacho kiandika, kinachofanya Camera nimeshakisema, rudia nilichokiandika huko awali.Hapa hatujaelewana.
Labda nibadilidhe swali.
CAMERA INAFANYAJE KWA UNAVOONA WEWE?
kile ambacho tunakiona kupitia camera ni cha ukweli?
Mimi nataka uniambie wewe tunapotumia camera kuona kitu ambacho hukioni tena baharini kwa macho pekeyake hapo tunasema camera imefanyeje kwa uonavyo..?
Sent using Jamii Forums mobile app