Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu
Litatue mwanasayansi
arctic pia kuna bara lipo katika ya northpole ambalo lipo kama bustani ya eden na kuna watu warefu magiant wenye macho ya blue na southpole ndo imecirculate dunia yani Antarctica na nje yake ndo kuna dunia na ardhi zingine ....mtafute navy seal admiral aliyoenda northpole ni true story.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikataka ithibati, ya kuwa ndio hizo factor zimeondoka, unaweza kuthibitisha uwezo wa Camera kufika ukamilifu na kujua ncha ya mwisho ya dunia ?
Sasa si ndio mweleze kwa nini ni mnadhani ni flat? 😁. Na kwanini Jua mnasema haliko stationery.We usihangaike na mapungufu yetu sisi.Just drop the facts....mwanzo mwisho, hizo story za youtube zipo nyingi tu mara kuna mwamba alikuwa anaita aliens n.k its just youtube na mambo yake kusaka subscribers,views e.t.c na hata kama sio youtube kuna kusaka umaarufu kwa kuongea uongo pia.Hapa kuna tatizo.
Wanadanganya kua dunia ni tufe ili kuipa nguvu nadharia ya big bang kwa kuficha ukweli upi sasa?Navyofahamu ili uweze kutawala dunia lazima uwe na nguvu,mali na upeo kuliko mwingine,kanuni ilianza kutumika enzi na enzi kutoka kwa familia za kiyahudi mpaka mabara mengine.hizi familia ni familia ambazo zinatufuta utawala wa ulimwengu na zishafanikiwa.
Familia hizi zinasiri kubwa na nyeti za ulimwengu kwasababu zilichukua siri kwa mababu zetu wa ulimwengu kwa mabavu na sio tu siri mali kama dhahabu na almasi n.k mifano ni knight templers,babilonians,romans and etc
Wao ndo wanamiliki mabenki,dini,elimu,siasa,uchumi,sayansi,taasisi,michezo,majeshi n.k
Kwahiyo lengo lao la kuleta nadharia ya dunia kuwa tufe wakati nembo ya umoja wa taifa inaonyesha dunia ni tambarare ni kwamba wanataka kuaminisha watu kuwa asili yao ni big bang theory na kuwa tumetokea duniani kwa random tu na maisha yani life or existense is meaningless kwahiyo hapa wanawaharibu kwanza saikolojia pili wametengeneza elimu ambayo ni ya utumwa kwasababu ili uweze kuishi itabidi utafute kazi kuhusiana na elimu na upate pesa ambazo ni zao ndo ulale....kwakifupi we ni mtumwa hufikiri we ni nani ,umetokea wapi,unasababu gani na unaelekea wapi.
Movies,games,musuc,sports,alcohol,drugs,science,media(radio,magazine,tv,internet),porn,religion,politics hizo ni BRAINWASHING MACHINES.
Unajisahau uwepo wako na kuona maisha ndo haya kumbe unapotea kutoka uhalisia kuelekea maisha ya kutengenezewa ambaye hatima yake ni kukosa uhuru na kupoteza mwelekeo na kuwa kama pambo ambalo halina thamani .
THEY WANT TO ME A WORLD A VILLAGE AND THEM RULERS FOREVER..sasa kwanini ukubali kuwa mjinga na kupoteza mda wako dunia kwa kutumikishwa na mwenzako na ni nyumbani kwenu wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na hapa ndipo nilipojua hoja yako 😂😂Navyofahamu ili uweze kutawala dunia lazima uwe na nguvu,mali na upeo kuliko mwingine,kanuni ilianza kutumika enzi na enzi kutoka kwa familia za kiyahudi mpaka mabara mengine.hizi familia ni familia ambazo zinatufuta utawala wa ulimwengu na zishafanikiwa.
Familia hizi zinasiri kubwa na nyeti za ulimwengu kwasababu zilichukua siri kwa mababu zetu wa ulimwengu kwa mabavu na sio tu siri mali kama dhahabu na almasi n.k mifano ni knight templers,babilonians,romans and etc
Wao ndo wanamiliki mabenki,dini,elimu,siasa,uchumi,sayansi,taasisi,michezo,majeshi n.k
Kwahiyo lengo lao la kuleta nadharia ya dunia kuwa tufe wakati nembo ya umoja wa taifa inaonyesha dunia ni tambarare ni kwamba wanataka kuaminisha watu kuwa asili yao ni big bang theory na kuwa tumetokea duniani kwa random tu na maisha yani life or existense is meaningless kwahiyo hapa wanawaharibu kwanza saikolojia pili wametengeneza elimu ambayo ni ya utumwa kwasababu ili uweze kuishi itabidi utafute kazi kuhusiana na elimu na upate pesa ambazo ni zao ndo ulale....kwakifupi we ni mtumwa hufikiri we ni nani ,umetokea wapi,unasababu gani na unaelekea wapi.
Movies,games,musuc,sports,alcohol,drugs,science,media(radio,magazine,tv,internet),porn,religion,politics hizo ni BRAINWASHING MACHINES.
Unajisahau uwepo wako na kuona maisha ndo haya kumbe unapotea kutoka uhalisia kuelekea maisha ya kutengenezewa ambaye hatima yake ni kukosa uhuru na kupoteza mwelekeo na kuwa kama pambo ambalo halina thamani .
THEY WANT TO ME A WORLD A VILLAGE AND THEM RULERS FOREVER..sasa kwanini ukubali kuwa mjinga na kupoteza mda wako dunia kwa kutumikishwa na mwenzako na ni nyumbani kwenu wote
Sent using Jamii Forums mobile app
OkayMimi sio Mwanasayansi.
Kama Sky haijwahi kuwa bright na hamuwezi kuthibitisha ukomo wa universe, kwanini mnafikia hitimisho kwa jambo ambalo halipo na halijawahi kutokea ? Haya ni matumizi mabaya ya akili. Kisha mkiambiwa mna fikiri kitoto na kuwa mna matatizo ya akili mnasema mnatukanwa.
Acjeni uvivu. Hizi nadharia na assumptions ni matokeo ya uvivu wa kufikiri.
Kwanza suggestion ya mdau umeiona?Sasa si ndio mweleze kwa nini ni mnadhani ni flat? 😁. Na kwanini Jua mnasema haliko stationery.We usihangaike na mapungufu yetu sisi.Just drop the facts....mwanzo mwisho, hizo story za youtube zipo nyingi tu mara kuna mwamba alikuwa anaita aliens n.k its just youtube na mambo yake kusaka subscribers,views e.t.c na hata kama sio youtube kuna kusaka umaarufu kwa kuongea uongo pia.
Yani wenzako hapa kuna mmoja anataka kutuaminisha hata projects za Elon Musk na mishe zake za Space X kuwa ni uongo, eti ni movie zinatengenezwa Hollywood😃😃.Picha za Sattelite ni uongo watu wanapiga wakiwa chini tu sijui na underground communication cables😃.Zurri hebu leta facts acha lawamaaa. The Reality is Unrealistic kabisa, ile evidence yake moja ya picha juu ina "God"😃😂😃😂
Antarctic Treaty, (Dec. 1, 1959), agreement signed by 12 nations, in which the Antarctic continent was made a demilitarized zone to be preserved for scientific research. The treaty resulted from a conference in Washington, D.C., attended by representatives of Argentina ,Wakuu mleta mada ana itikadi zake za kiimani nahisi ana force ngoma iendane na vitabu vyao. Halafu suala la kutuambia nyie mmesomea sayansi mpaka chuo na kutaja ma vitu magumu hata kuyaandika hakuwezi kufanya tukubaliane[emoji2]. Leta ukweli ambao uko wazi.Tueleze huo mkataba uli sainiwa wapi, na hizo nchi kumi na nne ni zipi? Tueleze kirahisi hata kwa ku compare na ku contrast nadharia za dunia mfano wa duara na dunia kama meza, tueleze kitabu kilichoandikwa kaandika nani, kasoma wapi, na ana reputation gani katika ulimwengu wenu wa wasomi wa sayansi, asije kuwa ni story teller aina ya wakina Shigongo[emoji2]. Kuna mtu kakanusha kuhusu "satelaiti"[emoji2], pia tusaidie mkuu hilo camera la P9 umewahi kulitumia na ukapata matokeo tofauti na ya Galileo?
Anaitishia kwasabubu dunia ni plane na projectile motion ni kwenye plane surface sio round ball.kama dunia sio duara korea kaskazini anaitisha vipi marekani na makombora yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si ndio mweleze kwa nini ni mnadhani ni flat? [emoji16]. Na kwanini Jua mnasema haliko stationery.We usihangaike na mapungufu yetu sisi.Just drop the facts....mwanzo mwisho, hizo story za youtube zipo nyingi tu mara kuna mwamba alikuwa anaita aliens n.k its just youtube na mambo yake kusaka subscribers,views e.t.c na hata kama sio youtube kuna kusaka umaarufu kwa kuongea uongo pia.
Yani wenzako hapa kuna mmoja anataka kutuaminisha hata projects za Elon Musk na mishe zake za Space X kuwa ni uongo, eti ni movie zinatengenezwa Hollywood[emoji2][emoji2].Picha za Sattelite ni uongo watu wanapiga wakiwa chini tu sijui na underground communication cables[emoji2].Zurri hebu leta facts acha lawamaaa. The Reality is Unrealistic kabisa, ile evidence yake moja ya picha juu ina "God"[emoji2][emoji23][emoji2][emoji23]
Mani they even say hakuna kitu kinaitwa satteliteWhat is flat and how do you prove this is flat?
How do you know something is flat and another is not flat?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadanganya kua dunia ni tufe ili kuipa nguvu nadharia ya big bang kwa kuficha ukweli upi sasa?
Mtu unasema satellite ni long towers eeeh Mungu babaYes ni uwongo soma uzi huko juu usiwe na fear of mind utaelewa.satellite umeziona wapi hakuna satellite duniani ni long towers hutaki sikulazimishi
Hawa jamaa kweli yani unaamini kunasatellite haya imewezaje kukaa huko juu wakati hata nje ya earthdome rocket haipiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Infact due to the presence of heritance.What is flat and how do you prove this is flat?
How do you know something is flat and another is not flat?
Sent using Jamii Forums mobile app