The World is a flat plane and not a globe

KUJIFANYA MJUAJI NI JAMBO HATARI SANA,elimu haina mwisho mimi najifunza bado na still naendelea uwongo pembeni ukweli sambamba
Mkuu nieleweshe hapo kwenye long tower cameras na uniambie hizo tawa zipo wapi maana navyoonaga Google maps inapiga picha kutoka juu na sio oblique.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu,

Msikurupuke bali leteni hoja zenye nguvu za kuthibitisha hicho mnachokiamini.

Hoja ya 'Perspective' mnayoitumia haijitoshelezi na pia haiendani na hicho mnachotaka kutuaminisha.

Kwa kifupi hoja hiyo ni irrelevant!

Next time, ni vyema mkatuletea hoja zenye mashiko, supported na evidentiary facts na si kauli tu za watu.

Mkifanya hivyo huenda mkatushawishi hapo baadaye kuamini hicho mnachokiamini.

Hizi hoja zenu za sasa bado ni dhaifu mno.

Ahsante!
 
Kweli mkuu unakurupuka, hizo satellite unazoonesha hapo zinatumika kuendesha drones na UAVs za kivita pia kuna kitu wazungu wanasemaga public domain, maana yake ni kuwa kuna military na public access hizo wanatumia kwa matumizi ya kijeshi mkuu ili kutoingiliana na satellite zinazotumiwa na jamii,

pia kwa jinsi zilivyo hapo sidhani kama zinaenda mbali sana na dunia hivyo communication inakuwa stable, hivi unajua simu yako tu kupata location ulipo inatumia satellite 6? kwa kutumia hizi satellite ulizoonesha hapa Jeshi linauwezo wa kutumia satelite 1 pekee kukamilisha kazi flani hivyo inapunguza ulazima wa kutegemea sync ya satellite 6 ndio wapate data, simple na sioni pointi yako hapo.
 
Kwa majibu mepesi Nipo sabu tatu wanasayansi hawawezi kudanya,tuanze hapo,halafu twende sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, embu soma taratibu. Hakuna mahali nimesema wanasayansi hawawezi danganya, ila nimetoa angalizo ni kwanini kuwe na siri ambayo hawataki igundulike halafu wakupe nyenzo za kuigundua? Yaani wakupe technology, si wangekunyima tu technology ili msisumbuane? Bila wagunduzi na watafiti hizi information kuwa dunia ni flat ungezipata wapi?

halafu nikasema kama wanadanganya technology waliyotupa yaani internet inatunza kumbukumbu hivyo hukumu yao itafika tu.

Sasa Nikauliza, hawa wanasayansi wanaosema dunia ni duara watu wanawaamini sababu wana mategemeo mengi kutoka kwao na hayo mategemeo nimeshayataja naomba nisirudie, sasa kwako wewe mtafiti unayeamini dunia ni flat na unataka tuamini, tukishakuamini tutegemee nini kutokana na unachotuambia?

Maana raia wanataka watafiti na wanasayansi wawepo ili kukitokea changamoto au tatizo basi watatue.

Wanasayansi hawapo ili raia wabishane nao au wafanye midahalo. Wapo ili kukitokea tatizo walitatue. Mfano, kukitokea tetemeko kubwa litakalohatarisha uhai wa dunia basi watakaofuatwa ni wanasayansi. Watu hawatajali wanasemaje juu ya umbile la dunia maana hii ni sayansi si imani.
 
Ukijaribu kutafakari hapa ,it make sense kwasababu kama ulimwengu ulitenganishawa na maji ya juu na ya chini siwezi shangaa maana ndo hicho nachokiona kwa macho halisia,naona bahari na refraction ya bahari angani ambayo ni mawingu surely prove tupo ndani ya dome ,na kwanini upinde wa mvua uwe na rangi saba,na upinde uwe katika curve,kwanini mabara yako saba,kwanini kuna bahari saba,kwanini kuna maajabu saba ya dunia,kwanini kuna ala saba za mziki,kwanini kuna siku saba za wiki,kwanini binadamu anamatundu saba mwilini yani masikio nawiwili,pua mawili,mdomoni moja,na sehemu mbili za haja,jumla 7.

Taswira hii inaunganisha dots Mungu aliumba siku 6 akapumzika ya 7 na sio coincidence.

Cash Money Forever,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200129_221554_283.JPG
    83.4 KB · Views: 10
This purely a good example of an indoctrination ,unaifahamu firmament msikikize hilary hapo ni mfano mzuri.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump alitangaza USA ina mpango wa kuunda jeshi la anga. Wanajeshi watapewa likizo ya wiki 6 kuja duniani kwa likizo ya uzazi

Hivyo vikosi vya wanajeshi wa anga vitakaa eneo lipi ndani ya dunia angani au nje ya dunia?

Sent using Cash Money Wings
Kwani yeye alisema watakuwa wapi?
 
MNAOAMINI KAMA TULIVYOFUNDISHWA DUNIA NI MVIRINGO, MMEWAHI KUHOJI JUU YA UELEEKEO WA MAJI KATIKA MITO MIREFU PINDI DUNIA INAPOZUNGUKA?

Kuhusu Jua Kuzunguka Dunia Hilo lipo wazi kabisa hata Kwakutumia Macho tuu, ukiona hauamini mtafute mtoto muulize maana tunaamini huwa hawadanganyi.

Chukua hii...
Kwa flat earth tunaamini Jua linaizunguka dunia kama mshale wa saa katika saa ya mshale.

Mzungu kauhamishia mzunguko wa Jua katika saa ya mshale ili kutupoteza muda hasa nyakati. Rejea mababu zetu walilitumia jua kujua masaa kadri lilivyokua likiizunguka dunia watu wakalicalculate wakatengeneza saa.

Leo hii jua la saa tatu asubuhi usishangae kukuta ni saa moja katika saa yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kumbe basi huelewi ukisemacho. Sayansi hitimisho lake ni namna dunia na kila kilichomo kilivyotokea. Kwamba hakuna muumbaji bali vyote ni ajali tu. Sijui unasemaje kuhusu hilo?

Pia unapoongelea suala la tiba, ni Mungu yupi alisema usigundue tiba? Kwamba utoe kafara tu upone, mbona unamshusha hivyo Mwenyezi Mungu? Kwani tangu zama za kale hakukuwa na vimbunga na matetemeko ya ardhi? Yote haya mbona yamekuwako tokea zamani?

Linapokuja suala la ORIGIN OF THE UNIVERSE hapo ndipo sayansi inachepuka na kuchukua mwelekeo wake. Soma Steven Hawkings alisema nini baada ya kunogewa na kile alichokiita THE LAWS OF PHYSICS.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
FRANC THE GREAT, Labda nikuulizs swali, maana unabisha suala ambalo ni la kawaida mno. Kama kimefunikwa ni kitu kingine, kwa nini basi ukikisogeza karibu zoom ukione tena? Je, hakipaswi kuwa kimepotea kabisa? Nijibu hilo kwanza

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
REALITY, Nyenyere,
Sayansi inahitaji prove, wanasema hakuna MUNGU sababu hawana prove. Wakiwa nayo watasema yupo. Na wakisema yupo kiimani tu bila prove ndipo linakuja suala la kusali tu kunapotokea tatizo badala ya utafiti maana ni imani sio process inayoleta definition ya sayansi. Ukishachanganya sayansi na imani unapoteza maana. Ila mkuu hii si mada, mada ni flat vs round hivyo tuachane nayo
 
FRANC THE GREAT, Maelezo yako ndio irrelevant. Unapodai meli inapotea sababu ya curveture halafu ukitumia binocular unaiona nzima kama ilivyo tena kwa kilomita nyingi zaidi huoni kama unachong'ang'ania ni uongo?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…