Najaribu kuwaza alternative structure ya nyumba ili zisihusishwe na hizi mambo...
Dunia iwe duara au box huwez mfanya mwanadamu asiamini kuhusu MUNGU, science haimaini kuhusu MUNGU ili kuwepo ugunduzi, mfano tuseme wote tumeamini kuna MUNGU, kuna haja gani za kugundua tiba za kansa, si MUNGU yupo, tusali na kutoa kafara. Kuna haja gani ya kufanya tafiti za hali ya hewa ili kujilinda na natural disasters ? si tunasali tu? Hizi ndio sababu za msingi za kutenganisha sayansi na imani ila ukirudi kwa mwanasayansi mmoja mmoja wengi wao wanasali kwa imani zao hata kisiri siri.Mkuu mimi pia nimevutiwa na uzi huu, hivyo nikaamua kufanya uchunguzi wangu binafsi. Nilichoambulia mpaka sasa ni sababu mbili:
1. NASA program na space program nyinginezo duniani zinatumia mabilioni ya dola kila mwaka kufanya tafiti za anga za juu, hivyo ni njia nzuri na ya uhakika kuchota pesa za walipa kodi kwa amani kabisa. Bila hivyo ni ngumu kupata mafungu haya kwani watu hatakubali.
2. Kuwatoa watu kwenye kuamini kwamba Mungu yupo. Kumbuka tangu awali dunia iliaminika kuwa ni tambarare ambayo ni kama sinia. Kwamba bara la antarctica limezunguka ncha upande wote wa chini wa dunia. Sasa kusema kuwa dunia ni duara kunaondoa credibility ya Mwenyezi Mungu na hivyo kufanya vitabu vya dini kuwa ni hadithi za kutunga tu.
Bado naendelea kutafiti zaidi, lakini kama utafanya utafiti kwa kuwa na mtazamo huru, nakuhakikishia mada hii ni nzuri mno. Weka spoon feeding pembeni, shughulisha ubongo wako ije na mtazamo wako mwenyewe ulinganishe na scientific facts.
Naendelea....
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Perspective???Hizi hoja ni entry level kwa mtafiti wa flat earth na ni hoja nyepesi zaidi kujibu KWA VITENDO tu. Nenda kando ya bahari, itazame meli mpaka pale inapopotea machoni mwako. Chukua kifaa choochote cha kuweza kusogeza umbali (zoom) mfano kamera yenye nguvu. Tazama tena uelekeo wa meli oale ilipopotea (kuzama kwenye duara) halafu ushangae utakapoiona ikichanja mbuga kama kawaida. Kwa mtindo huu unaweza kuona hata vitu vinavyopaswa kuzama zaidi ya mita mia chini ya bahari lakini vikawa vinaelea mbele yako. Hiyo inaitwa perspective, ni upeo wa macho tu, sio mbonyeo wa dunia.
Gravity ni imaginary, hata wewe huwezi kuielezea. Kuanguka kwa vitu kila viendapo juu ni kutokana na kuwa denser than air. Ndivyo ilivyo kuzama pia. Gravity ni mtazamo wa wanafizikia lakini haina uhalisia
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Tatizo ni Moja (Dini) mmejimilikisha Mungu kama vile ni wenu. Na hapa ndio ninayoyaona unaeleza kwa codes sijui "Imani Zao"Dunia iwe duara au box huwez mfanya mwanadamu asiamini kuhusu MUNGU, science haimaini kuhusu MUNGU ili kuwepo ugunduzi, mfano tuseme wote tumeamini kuna MUNGU, kuna haja gani za kugundua tiba za kansa, si MUNGU yupo, tusali na kutoa kafara. Kuna haja gani ya kufanya tafiti za hali ya hewa ili kujilinda na natural disasters ? si tunasali tu? Hizi ndio sababu za msingi za kutenganisha sayansi na imani ila ukirudi kwa mwanasayansi mmoja mmoja wengi wao wanasali kwa imani zao hata kisiri siri.
.Perspective???
Unapozungumzia Perspective na kinachotokea kadri meli inapoelekea mbali na kuonekana kama kuzama ni vitu viwili tofauti.
Perpective haikufanyi kukiona kitu kikizama na kupotea machoni hususani hiyo meli bali kitu hupotea machoni kwa mtindo huo kutokana na kufunikwa na kitu kingine.
Kadri kitu kinazidi kuelekea mbali zaidi ya macho ya anayekitazama kitu hiko ndipo kitu husika huonekana kuwa kidogo zaidi kwanza kabla ya kitu husika kushindwa kuonekana vizuri, hiyo ndiyo 'Perspective' lakini kitu kinapoonekana kama kuzama kadri kinaposogea mbali na macho ya anayekitazama ni kitu tofauti kabisa.
Muonekano huo wa "kuzama" ni kutokana na kitu husika kuelekea kufunikwa na kitu kingine kitu ambacho hufanya kianze kupotea machoni mwa anayekitazama kama nilivyosema hapo awali.
Ni kitu gani huanza kuifunika meli hiyo taratibu kadri inapoelekea mbali zaidi ya macho ya anayekitazama?
Si 'Perspective' bali ni 'Curvature of the Earth'.
Upeo wa macho kutazama vitu haupelekei vitu kuonekana kuzama ama kuonekana upande mmoja na kutoonekana upande mwingine na hapo ndipo wengi wanaoamini dunia ni tambarare wanapochanganya. Upeo wa macho unapoishia, hufanya kitu kutoonekana kabisa na si katika mtindo huo wa kuzama chini juu.
Hivyo basi, kusema kuwa utatumia camera kufanya 'zooming' bado utarudi pale pale tu kwamba kadri utakapoendelea kuitazama meli kwa hicho kifaa chako, muonekano ni ule ule wa kuelekea kuzama ama kufunikwa.
Ukitaka kuitawala dunia tumia ishara na alama sio maneno na vitabu-hitlerDunia iwe duara au box huwez mfanya mwanadamu asiamini kuhusu MUNGU, science haimaini kuhusu MUNGU ili kuwepo ugunduzi, mfano tuseme wote tumeamini kuna MUNGU, kuna haja gani za kugundua tiba za kansa, si MUNGU yupo, tusali na kutoa kafara. Kuna haja gani ya kufanya tafiti za hali ya hewa ili kujilinda na natural disasters ? si tunasali tu? Hizi ndio sababu za msingi za kutenganisha sayansi na imani ila ukirudi kwa mwanasayansi mmoja mmoja wengi wao wanasali kwa imani zao hata kisiri siri.
ExactlyTatizo ni Moja (Dini) mmejimilikisha Mungu kama vile ni wenu. Na hapa ndio ninayoyaona unaeleza kwa codes sijui "Imani Zao"
Mungu yupo na wanasayansi na watafiti tunaoamini Mungu tupo... Tukienda mbali watu ambao hatukariri, tunapinga nyie watu Dini kujimilikisha Mungu kwamba anafanya kazi kupitia Dini Tu.... Haiwezekani
Take a note wengi tunamuomba Mungu pasipo kuwa na ushirika na Dini. Imefikia hatua pia watu wa Dini mmeanza abudu dini, hicho kinakera for sure.
Ukishafumbuka macho unafanyaje? Kuna swali nimeuliza kwanini unatuaminisha dunia ni flat? Ili Tuwaprove NASA wrong? Then?safi sana, nawapongeza hamna hasira kabisa mnajibu hoja kwa hoja. kuna watu wanasema mnajadili vitu vya kijinga ili hali hata hao wazungu pia wanaoamini dunia ni flat wapo vilevile. ila mzungu akihoji hawashangai, mtanzania akihoji anaonekana waajabu eti,,,endeleeni kutufumbua macho, hoja zenu zina mashiko kuliko wale wanaosema dunia ni tufe
Kuwa mpole. dini ni imani hata wewe kuamini Mungu kwa namna yako ni imani yako. Tunajimilikishaje MUNGU ilihali na wewe una namna yako ya kuamini uwepo wake na hujanyimwa kuamini?Tatizo ni Moja (Dini) mmejimilikisha Mungu kama vile ni wenu. Na hapa ndio ninayoyaona unaeleza kwa codes sijui "Imani Zao"
Mungu yupo na wanasayansi na watafiti tunaoamini Mungu tupo... Tukienda mbali watu ambao hatukariri, tunapinga nyie watu Dini kujimilikisha Mungu kwamba anafanya kazi kupitia Dini Tu.... Haiwezekani
Take a note wengi tunamuomba Mungu pasipo kuwa na ushirika na Dini. Imefikia hatua pia watu wa Dini mmeanza abudu dini, hicho kinakera for sure.
Ok boss.Ukitaka kuitawala dunia tumia ishara na alama sio maneno na vitabu-hitler
Scriptures na hoja kwa hitler ni hapana ila nembo kila kona na ishara kama alama za vidole and so ni ndio
Sent using Jamii Forums mobile app
YOU KNOW YOUR TRULY EXISTENCE AND ITS TIME TO FOCUS YOUR REAL DESTINY,NA KIFIKRA UNAKUWA HURU NA HUWEZI KUWA MANIPULATED KWA KUWA UNAUJUA UKWELI.Ukishafumbuka macho unafanyaje? Kuna swali nimeuliza tunagundua dunia ni flat ili nini? Tuwaprove NASA wrong? Then?
Binafsi sina prove kuwa dunia ni duara, sina prove pia kuwa ni flat, ila wanaokuambia ni duara wameenda mbali mpaka kufikia kufanya uchunguzi sayari nyingine, wanajaribu kuangalia huenda kuna maisha nje ya sayari yetu n. K n. K
lets say ni waongo, ila utlist prove wanazotoa kuthibitisha uongo wao ni ginuine, ukiingia youtube kuna programme za live from space unaona na wanasababu za kufanya yote haya,
sasa mnaotaka kutuaminisha kuwa dunia ni flat na kuna glass juu tukishaamini hilo ni nn kinafuata?
Mm nshamwambia mtu hapa dunia inawezekana ni flat kaniuliza sawa, tufanyaje? Mm namwangalia tu.
Sasa mkuu we unaomba proof, we proof uliyotoa ipo wapi maana naona ulichopost hakina tofauti na hao unaowapinga, unatumia nadharia wenzio angalau wamedanganya kwa picha, sasa wewe maneno tu tena umegoogle, acha upuuzi bwana mdogo huwezi hata kurusha ungo unabishaje satellite hazipigi picha?
Duh
Mkuu nieleweshe hapo kwenye long tower cameras na uniambie hizo tawa zipo wapi maana navyoonaga Google maps inapiga picha kutoka juu na sio oblique.Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio mpira nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
YOU KNOW YOUR TRULY EXISTENCE AND ITS TIME TO FOCUS YOUR REAL DESTINY,NA KIFIKRA UNAKUWA HURU NA HUWEZI KUWA MANIPULATED KWA KUWA UNAUJUA UKWELI.
Sent using Jamii Forums mobile app