Mi nahisi lens sensor in zooming ability inauwezo kiasi gani kama ipo strong it can move far but not finity ila week hautaenda mbali ila hizo factor sio dharura ndo chanzo why we cant get far the horizonHizi ulizo zitaja ni sababu za nje na huwa kama dharura ila kua zile sababu ambazo ni za dhati ya kifaa kinyewe. Swalila msingi ni kuwa je zikiondoka sababu hizo za nje, kifaa kinaweza kukidhi mahitaji na je ukomo utaondoka na ukamilifu utafikiwa ?
Safi kabisa, je huo umbali ni timilifu yaani unafika nchani au ukisogea mbele ya ukomo wa kifaa utaona tena mbali zaidi ?
Sijui umbali wa Mwezi kutoka hapa duniani ni kiasi gani na kadhalika sina uhakika na hicho kipenyo cha dunia, kwani majibu haya mawili yanatakiwa kuhakikiwa na kujua kama ni ya kweli au si ya kweli.
Kaka inaonekana hujui maana ya Elimu, elimu sio dibaji na kusoma risala mbele ya mgeni rasmi, elimu ni ile ambayo uko nayo kifuani mwako, na unaweza kuitoa popote utakapo kuwepo.Hajamshika mtu yeyote ni vile tu siwezi bishana na mtu mjinga
Da vinci kuwa muwazi you know Zurri well ๐
I will waste my energy here
Two weeks ago nlkueleza jinsi nlvyotumia AI kudevelop method flan ya kutibu mtu aliye paralyze mkono
And i was so busy nkakueleza nashindwa hata kukujibu now
Then mtu anakuja kukwambia quantum physics ni ushubwada tu aaah aisee nmemind sana kijana hizi ni dharau wazi wazi
Kwa kuongezea ndege ina runturn moja kiuelekeo, there is something behind this! Nina proof about this lakini first nahitaji kuwafahamu watu vizuri hapa.Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani
Hivi unajua ndege inaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?
Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?
Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?
kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?
Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
Ndio maana nikataka ithibati, ya kuwa ndio hizo factor zimeondoka, unaweza kuthibitisha uwezo wa Camera kufika ukamilifu na kujua ncha ya mwisho ya dunia ?Mi nahisi lens sensor in zooming ability inauwezo kiasi gani kama ipo strong ya can move far but not finity ila week hautaenda mbali ila hizo factor sio dharura ndo chanzo why we can get far the horizon
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio maana mimi huwa nawaita mashabiki wa Sayansi, yani wao huvutiwa tu na habari za Sayansi, ila kuhoji kwao ni mwiko.Shida ni pale unaweza kusema baiskel inatembea na hatuioni ikiwa katika motion
huwa najiuliza dunia inayozunguka km zaidi ya km9000 kwa saa inawezekanaje tusione ile purukushani sababu ya gravity force lakini tunawez akuliona tetemeko lililo na nguvu kidogo kuzidi ile speed tutaona upepo vimbunga na tsunami lakni sio ile speed kubwa zaidi
daaaa hapo najiuliza tu ila hakuna mwanasayansi wakukujibu kwa uthibitisho zaidi ya theory tu
Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani
Hivi unajua ndege inaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?
Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?
Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?
kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?
Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu
Mimi mkuu nmeshindwa kuongea chochote humu tushadili sana humu ndan na hawa flat earth
Wagumu mno ni sawa na mkristo au muislamu umwambie dini yako sio sahihi [emoji28][emoji23]
๐๐๐๐ huyo raia alipokataa sattelite, nikajua kuna tatizo kubwa sana hapa aisee.Dah watu tunaenda mbele,karne hii mtu analeta kitu kama hiki cha flat earth kwa evidence za youtube๐๐.Yani hii ni kama story ya Hamida, na GwajuTumia google yako vizuri usitake kurahisisha mambo. Ingia mtandaon soma unachokitaka. Usisingizie watu wa jf
We baki kusema story watu wanadiscover vitu huko mbele.
Kama ukiwa huamin sayans na utabir wa hali ya hewa usiuamin na ukiambiwa tetemeko linakuja usiamin. Kuna juha mwenzako hapo juu anasema et Hakuna satellite ni uongo tu. Hv mmekula maharage ya wap nyie viumbe???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio msomi you schumbargHivi umemuelewa alichoandika?
Pili humu ndani hatuongei,kuongea ni sauti sio maandishi sawa msomi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo huwa nawacheka hawa jamaa, halafu wanajiona wana akili kuliko wengine.Mkuu sasahivi tupo stationery wao eti wanazungua thousand miles in speed halafu wanazunguka jua waache wazunguke ,na kabisa kila siku wanaliona juu linatokea huku na linazama huku linatokea huku linazama huku na wanaliona kabisa ni dogo na hawahisi kabisa kama dunia inazunguka.kufikiri ni kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
๐๐๐๐ huyo raia alipokataa sattelite, nikajua kuna tatizo kubwa sana hapa aisee.Dah watu tunaenda mbele,karne hii mtu analeta kitu kama hiki cha flat earth kwa evidence za youtube๐๐.Yani hii ni kama story ya Hamida, na Gwaju
Link zikiwekwa hapa zitasaidia,..Mods na Wafukua makuburi wa JF! Kama hamtojari naomba muweke Threads zangu za Flat Earth na zote zenye mlengo huo.
Shukrani
Unaanzaje kubishana na mtu anayekwambia sattelite ni uongo๐๐๐๐ huyo raia alipokataa sattelite, nikajua kuna tatizo kubwa sana hapa aisee.Dah watu tunaenda mbele,karne hii mtu analeta kitu kama hiki cha flat earth kwa evidence za youtube๐๐.Yani hii yni kama story ya Hamida, na Gwaju
Hapa kuna tatizo.Mtu ambaye nikijaribu kumweleza olbers paradox kwamba sky ingekuwa permanent bright kama universe ni infinity
Litatue mwanasayansiHapa kuna tatizo.