The World is a flat plane and not a globe

Hutakiwi kuanza kuzungumzia flat this and flat that kabla huja define flat ni nini.
Kama hujui hata flat earth ni nini ni bora ungeenda google ukajielimisha kwanza ndipo uje humu. Hujishangai watu wote wanachangia kwa kadri wawezavyo ila wewe ndio umebaki na kindergarten question, what is flat? Please, save your energy.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nimesema ni complex because
Inavyozidi kuwa complex kwa Mungu picha ndio kwanza linaanza. Mpaka dunia ije ifahamu yote ya uumbaji wake Yesu atakuwa amesharudi.

Sent using Cash Money Wings
You didnt mark me well kumbuka flatearthers tunatumia hidden doctrines,scriptures,documents,science and sight evidence.kwahiyo nikisema complex ni complex in data.mfano

Chini ya kanisa catholic st peters basillica kuna the real doctrines of ancients kingdoms ,who knew things more spiritual than this generation ,others even dreamt,talk and heard the sound of higher authority.hawa walioshikia ukweli kwa kuuficha calling themselves secret socities of shadows ndo wanacontrol huu mfumo wa indoctrination ikiwamo na mengine mengi.
THATS WHY IS COMPLEX BUT IT DOESNT MAKE ANY DIFFERENCE AS LONG AS REALITY CAN BE SEEN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika Nyuzi Zote Zinazoanzishwa na Flatearthier, REARITY kautendea haki uzi huu. Hasa katika kuyajibu maswali kwa namna yalivyoulizwa au kwa namna yakumjibu muulizaji. Tupo Pamoja.

Wachangiaji wengi wanaokupinga wewe juu ya Utambarare wa dunia duara ni MAMBUMBUMBU NA KAMA WANAAMINI KATIKA USOMI WAO BASI NI WAJINGA WAKUTUPWA.

Hivi kwa aliyeenda shule ni nani hajasoma kuwa Dunia ni Duara Mviringo kama vile mpira.? Hakuna.

Ila wengi tulilijua hilo kupitia shule au kwa waliofundishwa hivyo shuleni, je kabla ya hapo tuliishi tukiamini vipi na hasa juu ya jua kutembea.?

Hapa tunatumia mtandao wa jamiiforums akija mtu akakwambia huu mtandao unauona ni jamiiforums ila sio huu ni mtandao wa facebook, nani atakua muongo?
Je ana tofauti na anayekuambia jua limesimama?

Sisi tunaoamini katika flat ni kwasababu tulifundishwa mviringo ila baada ya kuhoji uthibitisho haujawahi kuthibitika juu ya hiyo shape.

Hujawahi kufika hata jangwa la libya leo ukivalishwa manguo ya NASA na mahelment yao ukapigishwa misele angani miezi kazaa ukashushwa Libya uambiwe upo Mars utambishia nani na unaambia ukivua tuu kofia umekufa. UNAWEZAKUCHEKA UJUE.

KUBWA KULIKO ETI KUNASAFARI ZINAANDALIWA NA WATU WATAKUA WANASAFIRI KWENDA HUKO MARS... TUJIULIZE KWANINI WANATANGAZA KABISA KUWA NI SAFARI YA KWENDA TUU HAKUNA KURUDI, HAPO HAMZANI UKISHAJUA KULE UMEDANGANYWA UKIRUDI SI UTATOA SIRI.

GRAVITATION GORCE MBONA HAIBADIRISHI MITIRIRIKO YA MAJI YA MITO PALE DUNIA INAPOKUA INAZUNGUKA?

NAAMINI KATIKA UKWELI WA ELIMU ILINIDANGANYA JUU YA UMBO LA DUNIA,
NAKUPITIA UZI HUU NAENDELEA KUZIJUA SABABU ZA UONGO HUO.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is the definition of flat? Sijauliza flat earth, kabla ya kwenda flat earth, anza na flat kwanza.

Unaweza ku define msingi wa hoja yako?
 
UNGANISHA WANASAYANSI,WANAJESHI,VITABU VYA DINI,MACHO NA AKILI YAKO UTAPATA JIBU

ukishindwa pengine asili kutokana na darwin bado inakuwinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii post imenichekesha sana [emoji23][emoji23]eti kwani nitavunja nitoke nje[emoji23][emoji23]
........dah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama NASA wamefanya project za mabilioni ya dollar miaka yote kumbe wanatuongopea walaaniwe. Na kwanini watuongope kwa faida gani sasa?
Kwanza unaweza kututhibitishia ya kuwa hiyo miradi kweli ilifanyika na hizo fedha zilitumika kwa kiasi hicho ?
Kwani sisi tukijua dunia ipo flat inatuongezea nini au inatupunguzia nini?
Waswahili huwa wanasema "Mfitini huwa hana sababu" na sio lazima wewe uijue hiyo sababu, ila bila shaka wanajua wanachokifanya.

Sasa ukitaka kujua kwamba wao wana malengo yao, wewe umefaidika na nini kwa kuwaamini watu hao ? Lengo usiujue ukweli na ujue ya kuwa hakuna kinachoshindikana chini ya jua, huu msemo huwa unamaanisha upunguani/uhayawani wa baadhi ya wanadamu.
Mimi sasa hivi nikitangaziwa dunia ni flat nitafanya nini kwani nitajiua? Au kwani nitakwenda huko mwisho wa ncha ya dunia na sururu au shoka nianze kupasua kioo nitoke nje ya dunia
Kinachotakiwa ni kuwa daima ukweli utangulizwe na uongo usiwe juu ya ukweli. Hapa ndio kuna tatizo kwanini usione shida kwa kila jambo ?, jambo ambalo hata akili ya kawaida tu inalikataa.

Pili, kutokujali kwetu na kutokuhoji ndio kumetufikisha hapa, hata hao Wanasayansi Wazandiki wanajua ya kuwa leo hii hata wakikwambia Dunia ina umbo kiatu,hawatapata kipingamizi sababu wengi hawana muda wa kuhoji. Angalia tukio la mtu kwenda mwezini tukio lile limeripotiwa baina ya mwaka 1969 na 70 kama sikusei lakini mpaka kesho kuna watu wanaamini ya kuwa kuna mtu alienda mwezini, kwao wao lengo lao limefikiwa kuwaaminisja watu uongo, kisa ushindani wao kati yao (USA) na USSR. Na mpaka kesho unaambiwa miongoni mwa maendeleo ya Sayansi na Teknolojia na mtu kwenda mwezini.

Tatu, binadamu tumepewa akili ndio maana tukatofautishwa na wanyama, sasa unapochukua sifa ya mnyama unakuwa undhulumu mnyama na unatakiwa kupigwa makofi na kutengwa. Haya mambo yanahojika na Ukweli siku zote uko juu, kwahiyo tunaulilia ukweli hata ukijulikana na wachache.

Nisikuchoshe kaka.
 
Na kwanini Russia, Japan, Korea, China wapo kimya ilihali kila mara wanarusha vyombo vyao huko nje ya dunia?

Waongo siku zote huwa wamoja. Wanajua tu mmoja akimwaga mboga kwa mwenzie mwingine lazima amwage ugali, kwahiyo wanachofanha ni "Kuvumiliana" tu siku ziishe.

Baada ya tukio lile la filamu ya mtu kwenda mwezini wale walio husika katika tukio lile, walipigwa biti wasitoe siri, na wale walio toa siri waliishia kuuliwa.

Hivi sababu ya yule raisi wa Marekani kijana John F Kenedy kuuwawa ilikuwa ni nini hasa ? Wapo wanaosema hili tukio ni moja ya sababu hiyo. (Hapa msinihoji sana sababu nimesikia tu hii habari, na sikupata muda wa kuiweka katika meza ya uchunguzi, maana nilichoshwa sana na sarakasi za wana anga, mkipata wasaa fatilieni).
 
Sababu tumekuwa tunaumiza vichwa kuhoji na kuitafuta ukweli, leo ngoja niende kimteremko mteremko.

Nanukuu leo, kutoka kwao wenyewe.

George Ellis is a famous astronomer who authored books with Stephen Hawking. In a profile in Scientific American W.W. Gibbs quotes Ellis: “People need to be aware that there is a range of models that could explain the observations... For instance, I can construct you a spherically symmetrical universe with Earth at its center, and you cannot disprove it based on observations... You can only exclude it on philosophical grounds... What I want to bring into the open is the fact that we are using philosophical criteria in choosing our models. A lot of cosmology tries to hide that.”

Narudi kuendelea hapa nilipoishia, haya mambo yanaenda sana kwa dhana na falsafa.
 
FlAT EARTHERS WE HAVE "NAVAHO" CULTURE HERE WHICH IS RELATING TO THE HOLES OR CLOSED PORTALS OF THE FIRMAMENT OR DOME
Holes......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuamini uwepo wa hayo 'mataifa' wakati walosema hayo ndo walosema dunia duara ambayo huamini ni kukosa mashiko.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ya kulipua sio ya msingi.

Mathalani mimi nijuavyo na hili lisiwe mjadala kwa sasa. Marekani na Irani wamoja. Hapa wakubwa tunasema tunaweka kiporo.

Tatizo sio kufatilia tatizo ni kuthibitisha, je ushawahi kuhoji lolote pindi ulipokuwa unafatilia na kaka ulihoji, ulihoji nini na ulitumia nguvu kiasi kupata majibu ya kile unacho hoji na je ulipata majibu ? Kaka leo hii watu wanafatilia mangapi lakini hawapati ukweli jui ya hayo wanayoyafatilia ? Ukweli uko wazi sababu tu wao wanataka muone kile wanachotaka wao muone na wanajua wanapenda kuona basi mnaonyeshwa.

Jambo lingine, nilifundishwa nikiwa nafatilia jambo fulani kitu cha kwanza kufatilia na kukijua na kukitilia mkazo ujue ni wapi unachukua habari za kweli juu ya kile unachokifatilia. Usipojua wapi pakuchukua hili ndio tatizo kubwa kuliko ufatiliaji wenyewe.
 
Dunia kuwa mpira ni mission ya kuindoctrinate mfumo wa elimu na saikolojia kama moon landing hoax ilivyofanikiwa kwa vichwa vya wengi.

Ila kuna vitu tena vingi nyuma ya 1940 vilikuwa vya uhalisia kabisa ila yote hii ni kufuta sura ya MUNGU KABISA KATIKA FIKRA ZA WALIMWENGU WOTE.
Kuamini uwepo wa hayo 'mataifa' wakati walosema hayo ndo walosema dunia duara ambayo huamini ni kukosa mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…