The World is a flat plane and not a globe

I THINK HE IS STILL EMPHASIZING ON INDOCTRINATED FELLOWS
AND HE IS STANDING INSIDE A DOME WITH FLAT EARTH MAPS ALL OVER.

.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1920,GEORGE RAYNER DID HE SEE THE FIRMAMENT .
I dont know just go for yourself
But remember anything about the dome no permit.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is flat? How do you know something is flat and another is not?

How can you say the earth is flat while it clearly has mountains and valleys?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni heri ungejikita kwenye hoja. Hilo swali lako linalenga kutuondoa kwenye hoja ya msingi, hilo swali ni la kindergatten kwa mtoto anayejifunza lugha zaidi kuliko facts zinazojadiliwa hapa.

Kukusaidia basi, the earth is flat, kwa sababu ya kulinganisha model mbili: globe na flat model. Tunaposema dunia ni globe ama ni duara hatutazami perfection bali general appearance hasa hasa ukizingatia scale yake. Kwani unataka kutuambia kile kinachoonyeshwa na NASA ndii mwonekano halisi wa dunia ama ni kulingana na picha kwa kuzingatia scale?

Ukisikia flat earth siku nyingine ujue ni relative to globe model of representation, usilete vijilugha vyako kutaka kuhamisha mada. Jikite kwenye hoja za msingi, usiwe kama members wanaoweza kung'ang'ania typing error kwa sababu tu hukuweka comma, ni kujisgusha level ya uelewa wa mambo na kuonyesha huna hoja kuhusiana na kile kinachoendelea.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mkuu achana na mtu ambaye anajikita kwenye kiingereza badala ya sayansi ya dunia. Hapa hatushindani lugha bali tunaoanisha facts kati ya concepts mbili; flat na globe earth. Habari ya milima haiifanyi dunia kuwa globe wala flat, hivyo inahamisha mada na kuanza kujadili vitu visivyo na msingi.

Mwana jf mwenye nia ya kutoa mawazo yake hawezi kujikita kwenye hoja mfu bali kwenye msingi wa mada yenyewe.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hao wanafanana na hiyo ndio mbinu yao baada ya kushindwa hoja, huwa wanafanya moja kati ya haya mawili au hufanya yote.
1. Kuhamisha mada
2. Kutokujibu hoja kwa kuuliza maswali ya kijinga.
 
Dunia ni duara kama tufe. Msidanganywe na conspiracy theories.
Wataalamu wa kurusha long range rockets au ballistics missiles wana formula moja ambayo lazima upate Earth Curvature at a certain point,ili kudondosha kombora lako unapotaka. Earth curvature ni mpindo au mduara wa dunia ulivyo. Sasa kama dunia si duara formula hiyo ya nini!?
 
Very logical questions mkuu. Maswali magumu kama haya wana sayansi wa siku hizi hawataki. Na ukimuuliza physically kama kwenye seminar ataishia kukuambia "good question" kisha anapiga blahblah maisha yanaendelea. Science ya leo iko very dilute, watu wanakaa kwenye computer wanato simulated models kama hiyo uliyoiita takataka kisha wanaanza kupiga porojo "the earth is flat the earth is flat". Jamani mambo haya siyo rahisi kiasi hicho!!
 
Huwezi kupiga straight kwenda juu maana hakuna njia yeyote kuna kizuizi na hio ndo zababu kila kitu huenda kwa projectile because you cant and never will happen crossing the dome,glass ceiling or firmament





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanafanana na hiyo ndio mbinu yao baada ya kushindwa hoja, huwa wanafanya moja kati ya haya mawili au hufanya yote.
1. Kuhamisha mada
2. Kutokujibu hoja kwa kuuliza maswali ya kijinga.
safi sana, nawapongeza hamna hasira kabisa mnajibu hoja kwa hoja. kuna watu wanasema mnajadili vitu vya kijinga ili hali hata hao wazungu pia wanaoamini dunia ni flat wapo vilevile. ila mzungu akihoji hawashangai, mtanzania akihoji anaonekana waajabu eti,,,endeleeni kutufumbua macho, hoja zenu zina mashiko kuliko wale wanaosema dunia ni tufe
 
Its logically in logical to can not comprehend things that only use commonsense and sight and run for complex calculations which are merely theories ,thats a high level of indoctrination.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wr jamaa unanitibua wewe unaijua Schrondinger equation, fourier series, thevenin equation inaijua, boltzmann, canonical ensembe unazijua wewe mpumbavu we hata nikikuelewesha huwezi elewa fool"
Hayo ndio majibu ya wasomi wetu. Yaani wamesahau wanasansi wengi si waingerza waliandika mambo yao katika lugha ngumu hasa kilatini, ila kuna watu wameturahisishia kwenye lugha nyepesi ili tuweze kuelewa. Leo hii mtu kutoka tu Mwakaleli hapo anajiona mtaalama sana na hakuna anaeweza kuelewa zaidi yake aaahhh. Shuwaini. Kwanza kwa nini muwe madikteta wa mawazo, acheni watu watafari ndio kazi ya ubongo. Hii inaonesha wasomi wetu wengi ni vilaza ndio maana wanatumia fomula ngumu ili tuwaone wako nondo
 
haa haaa...ma shrodinger equation kwenye quantum physics yanaboa kweli yale. ila kweli ktk mada ya hapa juu inabidi uiache akiri yako itulie, unaupata uhalisia kabisa...mimi mwalimu wangu wa physics alitumia nguvu sana hadi tuligombana kwa kuniambia eti tupo nje ya dunia tumening'inia kama popo...ha haaa kumbe zilikuwa fix tu
 
Umewaza kama mimi mkuu.hii mada ni nzuri sana ila ni mbaya kwa kina baba swalehe na wenzie ambao kwa sayansi ni dini yao so hawwfurahii kuona mtu anahoji jambo..
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…