Nani alianza kuizungusha hiyo dunia mpk ikapata speed kubwa hivyo?? Na je inaongezeka??
Bado sikubaliani kwamba eti dunia ni kubwa sana mpk hiyo speed yote hatuihisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyu ndio alifanyiwa hujuma na Einstein na Wenzake, huyu alisema Dunia hitembei iko tuli, ila kina Einstein walivyokuja kumpinga aisee ni vituko tupu, yaani hoja hawana.WATAFUTE VITABU SASA WASHINDANE NA HUYU KWANZAView attachment 1338783
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho kioo kilicho funika Dunia anasema kiko kama Dome lakini bado hajaleta ushahidi wa kutosha ni jinsi gani Watu wasio weza kupaa juu kwa roket, wanaweza safiri aridhini Kilometers ngapi wafike kwenye kizuizi cha hicho kioo! Maana hapatokuwa na woga wa kutoka nje ya Dunia Mtu atagota kwenye kizuizi imara cha Dome ya kioo!Ngoja jamaa anayeelewa akiona maswali yako atakujibu. Mm najua tu kuwa kasema kuna kioo huko juu kinagombaniwa kuvunjwa.
KUNA HUYU MJINGA NDO KAHARIBU KILA KITU NDO ALIYESUKA MPANGO WA SOLAR SYSTEM ,ROTATION NA REVOLUTIONSasa huyu ndio alifanyiwa hujuma na Einstein na Wenzake, huyu alisema Dunia hitembei iko tuli, ila kina Einstein walivyokuja kumpinga aisee ni vituko tupu, yaani hoja hawana.
Sayansi ina vimbwanga vyake aisee.
Yani unatumia theory za mwanasayansi anayeamini dunia ni tufe kusapoti ujinga wako. Nawasiwasi kama unaelewa General relativity inahusu nini.
.Sasa huyu ndio alifanyiwa hujuma na Einstein na Wenzake, huyu alisema Dunia hitembei iko tuli, ila kina Einstein walivyokuja kumpinga aisee ni vituko tupu, yaani hoja hawana.
Sayansi ina vimbwanga vyake aisee.
Yani unatumia theory za mwanasayansi anayeamini dunia ni tufe kusapoti ujinga wako. Nawasiwasi kama unaelewa General relativity inahusu nini.
- Huamini vitu rahisi vilivyo practical, ila unaamini mambo ya kufikirika?
- Walimu wako walipata hasara kweli. Sekondary ulifundishwa practicals za kupata absolute gravity leo unasema gravity haipo.
i) Simple pendulum
ii) Falling body/ weight drop
Ain't nobody got time for this. Usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa, tunaambiwa ya kuwa Albert Eistein na wenzake walikuwa "Die hard Copernicans" ambao hawakuamini juhudi aliyo ifanya Albert Michelson katioa jaribio lake.KUNA HUYU MJINGA NDO KAHARIBU KILA KITU NDO ALIYESUKA MPANGO WA SOLAR SYSTEM ,ROTATION NA REVOLUTION
umeona hapo putting the sun center rather than earth
Ndo sarasi zilianza ila aliwaambia kuwa si watajua haizunguki akaambiwa we endelea na kazi ,ntakupa kitabu ,amezingua sana
NICOLAUS COPERNICUS
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa unamsemea na sisimizi.?Ukubwa wa jua hilo ni jambo jingine ila ndio dunia inazunguka na hili linaweza kuthibitika kwa akili na fact za kawaida bila kifaa chochote kwasababu matojeo ya kuzunguka uko yanaonekana na kuelezeka kirahisi. swala la kutosikika kwa mzunguko wa dunia hilo sasa linategemeana na muumbaji mwenyewe kwasababu sidhani kama ni vitu vyote duniani tunaweza kuvisikia au kuhisi.Mfano mdogo hebu mchukue sisimizi alafu muweke mkononi kisha zungusha zungusha mkono uone kama atahisi huo mzunguko.Au kwa akili za kawaida unadhani tungekua tunahisi huo mzunguko wa dunia kwa spidi hiyo unadhani maisha yangekuaje kama sio kizunguzungu tupu.
We nawe ni mpumbavu tu. Unatakaa nani aje aanze kukuelezea kwamba Dunia ni duara? Kama huna hiyo common knowledge mpaka hapa ulipofikia you're trash.Bora tuendelee kusoma mada za kugegedana tu kuliko hizi mada za hovyo kabisa. Tatizo la wasomi wa kibongo hawana mada za maana zaidi ya kutunishiana misuli tu nani yuko nondo kwenye eigenvalue na eigenfuction au socratic tradition. Tunategeme mada kama hizi tupate elimu ya kutosha lakini matusi kibao, msomi gani unamwita mwezako mpumbavu kisa anahoji. Hao mnao waamini bila ya kupinga maono ya classical hiyo quantum ingekuwepo leo. Na huko kutumia lugha ngumu ndio tuwaone wasomi sana? Sijawahi kuona wasomi wa hovyo kama ninyi. Ngoja tuendelee kusoma mistari ya kutongazana kuliko huku mnatuchosha, nimesoma uzi wote sioni chochote cha maana zaidi ya majina ya wanasayansi na hiki unakijua. Shuwaini nyie
Okay asante kwa verses lakini nimesoma baadhi sijaona hata moja yenye direct prove kuhusu flatness ya earth. Alafu ujue kila mtu uelewa maneno ya Bible mara nyingi anavyotaka yeye. Ndiyo maana mabishano yanayohusu maneno ya bible mara nyingi huwa hayana mwamuzi sahihi na hivyo mimi binafsi pamoja na kuwa christian huwa najitahidi kuyakwepa kila yanapotokea.OK NI VIZURI NGOJA NIKUPE HII KAMA MUUMINIView attachment 1338760
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba usindelee kusupport Ujinga wa mtoa mada na Wewe usije dharaulika! Hebu fikiria Jamaa anasema Dunia ina uzio wa Dome ya kioo kiasi kwamba roket haziwezi kupaa wima. Na bado amejaribu kuelezea operation Dominic roket ilivyo shindwa kupenya hiyo Dome ya kioo nakuanguka chini ikiwaka moto!Nani alianza kuizungusha hiyo dunia mpk ikapata speed kubwa hivyo?? Na je inaongezeka??
Bado sikubaliani kwamba eti dunia ni kubwa sana mpk hiyo speed yote hatuihisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiondoke aisee, jikaze tu.Nimeingia choo cha kiume. Naomba niondoke fasta kabla sijapoteza brain cells zangu zote.
Offcoz mi mpumbavu nisiesoma ila wewe umenizid maana una digrii kabisa ya upumbavu uliyoipata chuoniWe nawe ni mpumbavu tu. Unatakaa nani aje aanze kukuelezea kwamba Dunia ni duara? Kama huna hiyo common knowledge mpaka hapa ulipofikia you're trash.
Sasa we ignorant fool hata kama hujaenda shule unashindwaje kujua kwamba Dunia ni duara mpaka uwasumbue watu hapa wakuelezee elementary knowledge?Offcoz mi mpumbavu nisiesoma ila wewe umenizid maana una digrii kabisa ya upumbavu uliyoipata chuoni
Mkuu tuvumiliane. Kuna watu wa uelewa tofauti tofauti hivyo ukiona mtu ana uelewa mdogo below your expectations usimtukane, mvumilie tu. Lakini pia tunatofautiana level ya uvumilivu naona wewe huko kama speaker mmoja wa bunge la south Africa ana hasira kama zako, kuna siku alimwambia mbunge, "honorable member you are worse than I expected". Nilicheka utadhani mazuri!We nawe ni mpumbavu tu. Unatakaa nani aje aanze kukuelezea kwamba Dunia ni duara? Kama huna hiyo common knowledge mpaka hapa ulipofikia you're trash.