Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,539
- 10,244
Na kwa mjibu wa mleta uzi, dunia ni flat halafu HAIZUNGUKINdugu yangu according to ww ni kwamba dunia yako ya flat ni kubwa kuliko jua Ndó maana mwanga haufik kote sasa hicho cha kwanza sijui ni nini maana naona vimpira vinakimbizana tu.
Pili lunar eclipse ninavyojua mm ni dunia inakuwa katikati ya mwez na jua. Sasa hii inatokeaje?? kumbuka dunia yako ni flat.
Ningependa majibu sio picha
Sent using Jamii Forums mobile app
, Na kwa kuwa dunia Haizunguki bali JUA NDO HUZUNGUKA DUNIA,KWA MAANA HIYO JUA LIPO JUU /LIPO KWA AJILI YA DUNI PEKEE, na sayari zingine zina majua yake, kwa sababu ikiwa jua linazunguka dunia maanake Ni kwamba sayari zingine haziwezi kupata/kufikiwa na Mwanga wa jua,
ARUSHA KWETU

